Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
YesWydad anaweza tolewa na hearts of oak
Simba ipi? Hii ya mchezaji bora John Boko?Timu zinahofia kukutana na simba pia
hahahahahahKutofika hata group stage 2019/20 pamoja na kutolewa kizembe na Kaizer Chiefs imetuathiri sana.
Tunaweza kupangiwa Ahly na Mamelody au Wydad na Zamalek kwenye group moja
hahhahahahTimu zinahofia kukutana na simba pia
Hahahaha naunga mkono hoja hahahaTimu zinahofia kukutana na simba pia
Njoo futa ujinga wako hukuBaada TP Mazembe kutoka, tunahitaji timu moja nyingine kati ya zifuatazo kuaga mashindano leo ili tuwe pot 2 na kupata draw nzuri
Esperance
Widad
Mamelody
Horoya
Ikiwa hizo timu zote zikashinda tutaishia pot 3 na pengine kupata draw ngumu sana
Pot 1
Ahly, Esperance, Wydad, Raja
Pot 2
Zamalek, Mamelody, Horoya, Etoile du sahel
Pot 3
Simba SC
NB - bold maana yake zimeshaingia group stage
Ahaa ahahSimba ipi? Hii ya mchezaji bora John Boko?
Hatoki mtu hapo...msimu huu Simba imepwayaBaada TP Mazembe kutoka, tunahitaji timu moja nyingine kati ya zifuatazo kuaga mashindano leo ili tuwe pot 2 na kupata draw nzuri
Esperance
Widad
Mamelody
Horoya
Ikiwa hizo timu zote zikashinda tutaishia pot 3 na pengine kupata draw ngumu sana
Pot 1
Ahly, Esperance, Wydad, Raja
Pot 2
Zamalek, Mamelody, Horoya, Etoile du sahel
Pot 3
Simba SC
NB - bold maana yake zimeshaingia group stage
Zimebaki ndoto tu...tusubiri msimu mwingine.Kutofika hata group stage 2019/20 pamoja na kutolewa kizembe na Kaizer Chiefs imetuathiri sana.
Tunaweza kupangiwa Ahly na Mamelody au Wydad na Zamalek kwenye group moja
Gongo wazi leo ndio mmetoka uvunguni π€£π€£Njoo futa ujinga wako huku
Simba hii inayotegemea kupata penati kwa timu mbovu kama Polisi?π π π π
Et timu zinahofia kukutana na simba. Shubamiiit
Maisha yanaenda kasi sana. Bira polisi wanaupiga mpira mwingi, biashara simba alichemka, dodoma jiji nusura atolewe damu.Simba hii inayotegemea kupata penati kwa timu mbovu kama Polisi?