Tunahitaji mmoja kati ya hawa wanne kuaga mashindano leo ili tuwe pot 2 kwenye draw ya CAF CL

Tunahitaji mmoja kati ya hawa wanne kuaga mashindano leo ili tuwe pot 2 kwenye draw ya CAF CL

Mechi zao wiki iliyopita

Ittihad Tripoli 0-0 Esperance
Maniema Union 2-2 Mamelody
Stade Malien 0-1 Horoya
Hearts of Oak 1-0 Wydad
Horoya huu sijui mwaka wa tano sasa akikosa klabu bingwa basi lazima shirikisho awepo
 
Baada TP Mazembe kutoka, tunahitaji timu moja nyingine kati ya zifuatazo kuaga mashindano leo ili tuwe pot 2 na kupata draw nzuri

Esperance
Widad
Mamelody
Horoya

Ikiwa hizo timu zote zikashinda tutaishia pot 3 na pengine kupata draw ngumu sana

Pot 1
Ahly, Esperance, Wydad, Raja

Pot 2
Zamalek, Mamelody, Horoya, Etoile du sahel

Pot 3
Simba SC

NB - bold maana yake zimeshaingia group stage
Sasa hivi mpo kwenye Pot la kunyea watoto
 
Back
Top Bottom