Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ilani ya SUMAKutovaa soksi,je ipo Ktk ilani ya chuo!!?
Sketi ndefu sana hainogi. Fupi sana n kero.Acheni kuvaa vimini na mavazi yq kihuni
Tii sheria bila shuruti la sivyo utashurutishwa tu.
Wajinga hawa madogoYani walinzi nao wanawababaisha?
Mkuu hakuna mavazi ya kihuni. Yaani kila kitu kilivyo kipo sawa.Acheni kuvaa vimini na mavazi yq kihuni
Tii sheria bila shuruti la sivyo utashurutishwa tu.
Umeona zile video?? Dah inasikitisha sanaWanafunzi wa siku hizi wajingawajinga sana, mnanyanyaswa na walinzi!
Very technical...Mkuu hakuna mavazi ya kihuni. Yaani kila kitu kilivyo kipo sawa.
Sema ubaya wake ama uzuri wake ni kuwa wewe umeweka Nini kichwani mwako mpaka useme kuwa jiwe ni Baya ama ni zuri.
Pia usidanganyike haya mavazi yamekuja hivj karibuni.
Kabla watu walikuwa wanafunika nyuchi tu na kangozi kadogo tu.
Huku sauzi mbona watswana wapo kifua wazi wakati mfalme anatafuta bikra wa kuoa mkuu.
Yaani huku umasaini kawaida Sana mama titi kuwa wazi.
Mbona unababaishwa Sana na titi ama paja .take easy focus on your dream everything gonna be okay
Kwani hao walinzi wana sheria zao au wanafuata za chuo?Baada ya kuibuliwa mambo kadhaa ya kishamba sana yanayofanywa na Askari pale getini ikiwa ni pamoja na kuwazuia Wanafunzi kuingia Chuo kisa hajavaa soksi na mavazi mengine ambapo kulipekea Wanafunzi hao wa kike na WA kiume kupigana na Walinzi hao, Chuo kilitoa statement ambayo ilikua ni Fake na ikiwakana wanafunzi wake. Leo hii tangu asubuhi Kuna kikao chuoni hapo kinaendelea dhidi ya manyanyaso ya Askari hao.
Rai yetu ni kwamba, kwakua RC na Mganilwa (Mkuu wa Chuo) wote ni Wana CCM washurutishwe wasije wakaficha matokeo ya Kikao hiki vinginevyo Kuna siku Wale Walinzi watauliwa na wanafunzi au vice versa na TUTAKOSA Cha kusema.
Alamsiki
Boom limekata nn Mbona hasira sanaBaada ya kuibuliwa mambo kadhaa ya kishamba sana yanayofanywa na Askari pale getini ikiwa ni pamoja na kuwazuia Wanafunzi kuingia Chuo kisa hajavaa soksi na mavazi mengine ambapo kulipekea Wanafunzi hao wa kike na WA kiume kupigana na Walinzi hao, Chuo kilitoa statement ambayo ilikua ni Fake na ikiwakana wanafunzi wake. Leo hii tangu asubuhi Kuna kikao chuoni hapo kinaendelea dhidi ya manyanyaso ya Askari hao.
Rai yetu ni kwamba, kwakua RC na Mganilwa (Mkuu wa Chuo) wote ni Wana CCM washurutishwe wasije wakaficha matokeo ya Kikao hiki vinginevyo Kuna siku Wale Walinzi watauliwa na wanafunzi au vice versa na TUTAKOSA Cha kusema.
Alamsiki
Nikimaliza UDSM miaka 15 iliyopitaBoom limekata nn Mbona hasira sana
Wanafuata za kwaoKwani hao walinzi wana sheria zao au wanafuata za chuo?