Tunahitaji Welder/Fabricator pamoja Foundry Technician, nafasi tatu ( 3 ).

Kaka nitumie namba yako, nikupe maelekezo πŸ™.
πŸ‘‰Uwe Ume andaa ki CV Cha mchongo.
 
Mzee mbona diss nyingi Sana, au mpaka nimention list ya watu walio chukuliwa Kaka???.
πŸ‘‰Halafu mbona Sina wahi kuchukua hata CV yako KakaπŸ€”, Mimi jobless mwenzio tu.
KaMa ni jobless acha kujibalaguza kwenye Kuombaomba Na WakuChoresha Cv za watu
 
KaMa ni jobless acha kujibalaguza kwenye Kuombaomba Na WakuChoresha Cv za watu
πŸ˜ƒπŸ€”πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒ, Mkuu bandiko nime weka Mimi??
πŸ‘‰ Haya Mimi sio jobless, una taka nini ??
πŸ‘‰Sio jukumu langu kukupa ajira Kaka, just chill dude.
 
πŸ˜ƒπŸ€”πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒ, Mkuu bandiko nime weka Mimi??
πŸ‘‰ Haya Mimi sio jobless, una taka nini ??
πŸ‘‰Sio jukumu langu kukupa ajira Kaka, just chill dude.
Nachotaka uache ujuaji kwenye mambo usiyoyajua kuombaomba CV zawatu huku unajua hauna huuwezo huo wakuwasaidia
Ni hivyo tu.
 
Nachotaka uache ujuaji kwenye mambo usiyoyajua kuombaomba CV zawatu huku unajua hauna huuwezo huo wakuwasaidia
Ni hivyo tu.
Mkuu una nifurahisha Sana, trust me kupitiaa post zangu Kuna watu zaidi ya wa5 wame chukuliwa.
πŸ‘‰So chill bro, Afu hamna msaada hapa, ni issue za kusapotiana tuπŸ™πŸ™
 
mkuu naomba kuwa fundi msaidizi mkuu nina idea ya welder naimani baada ya mda mfupi nitakuwa naweza kumudu majukum kikamilifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…