Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Sio kila kinachofunguliwa ni lazima kiwe kimefungwa kwanza. Ni neno pana ukilichukulia kijuu juu tu hutaielewa concept nzima.Habari za majukumu wadau,
Kuna kongamano linaendelea huko Zanzibar, Mgeni rasmi ni Dr. Husein Ally Mwinyi. Kongamano hilo ni kuazimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika lakini linafanyika Zanzibar maswali ni mengi. Mada mbalimbali zimetolewa na wana kongamano.
Ujumbe wa kongamano hilo ni " TUNAIFUNGUA NCHI YETU KIUCHUMI" Swali.
Nani huyo alifunga nchi kiuchumi, yupo wapi na kwann aliamua kuifunga nchi kiuchumi?
Wakati nchi inafungwa hawa kina mwinyi walikuwa wapi na dadake SSH?
Hapa tunabadilishiwa chupa tu mvinyo ni uleule.
Wacha kujivunjia heshima kwa kutetea hata yasiyo stahili kutetewa.Sio kila kinachofunguliwa ni lazima kiwe kimefungwa kwanza. Ni neno pana ukilichukulia kijuu juu tu hutaielewa concept nzima.
Siwezi kuwaamini ccm kamweCCM ni ile ile, maandalizi ya upigaji tu.
Kwani aliyeifunga humjui?Habari za majukumu wadau,
Kuna kongamano linaendelea huko Zanzibar, Mgeni rasmi ni Dr. Husein Ally Mwinyi. Kongamano hilo ni kuazimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika lakini linafanyika Zanzibar maswali ni mengi. Mada mbalimbali zimetolewa na wana kongamano.
Ujumbe wa kongamano hilo ni " TUNAIFUNGUA NCHI YETU KIUCHUMI" Swali.
Nani huyo alifunga nchi kiuchumi, yupo wapi na kwann aliamua kuifunga nchi kiuchumi?
Wakati nchi inafungwa hawa kina mwinyi walikuwa wapi na dadake SSH?
Hapa tunabadilishiwa chupa tu mvinyo ni uleule.
Ukishakuwa mwana ccm utaelewa tu mkuuMi mwenyewe sijui.
Uelewa wako mdogo kijana.Wacha kujivunjia heshima kwa kutetea hata yasiyo stahili kutetewa.
CHADEMA waliufunga uchumi!Sina hamu kabisa na hawa viwavi🐛
Tangu lini Mnyangara akawa na uelewa?Uelewa wako mdogo kijana.
Wanasiasa wana maneno sana. Nchi ilifungwa kiuchumi na mfumo sambamba na utawala pamoja na chama kilicho tawala tokea uhuruHabari za majukumu wadau,
Kuna kongamano linaendelea huko Zanzibar, Mgeni rasmi ni Dr. Husein Ally Mwinyi. Kongamano hilo ni kuazimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika lakini linafanyika Zanzibar maswali ni mengi. Mada mbalimbali zimetolewa na wana kongamano.
Ujumbe wa kongamano hilo ni " TUNAIFUNGUA NCHI YETU KIUCHUMI" Swali.
Nani huyo alifunga nchi kiuchumi, yupo wapi na kwann aliamua kuifunga nchi kiuchumi?
Wakati nchi inafungwa hawa kina mwinyi walikuwa wapi na dadake SSH?
Hapa tunabadilishiwa chupa tu mvinyo ni uleule.
Bonge la U_turn. Mkeka wa uteuzi uko njiani.Sio kila kinachofunguliwa ni lazima kiwe kimefungwa kwanza. Ni neno pana ukilichukulia kijuu juu tu hutaielewa concept nzima.
Hakuwa na sauti nadhani unakumbuka JPM alivyokuwa akisema hashauriki na hashauriwi. Hiyo ni sababu tosha ya kuamini kuwa anachokiamini Mama ni tofauti na kile alichokiamini bosi wake.Mtu anajinadi kufungua uchumi wakati alikuwepo awamu iliopita with almost the same position😅
Unaangalia maslahi ya Tanzania kwanza. Hakuna cha U-turn.Bonge la U_turn. Mkeka wa uteuzi uko njiani.