100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Kwa heshima kubwa, tungependa kuwafahamisha kwamba katika ulimwengu wa teknolojia ya mawasiliano, hatua za kuzima au kufungia domain moja ya tovuti si suluhisho la kudumu.
Tunajua mna uwezo wa kufanya deep packet inspection (DPI) na kufungia domain..
Lakini hilo lisiwape kiburi..
Jamii ya IT tuna uwezo wa kutengeneza App ikawa na built in VPN na kila baada ya muda mchache ikawa inabadili hio Ip address mliyofungia, hamna uwezo wa kuifungia App yenye uwezo wa kufanya obfuscation halafu domain fronting na TLS encryption... waliosoma cyber wamenielewa...
Haishindikani kuitengeneza App ya JeieFu katika mfumo wa TOR..
Uwezo upo wa kufanya JeieFu App ipenye na kufanya kazi hata kwenye nchi zenye censorship kali zaidi, achana na hii nchi yenu iliyojaa IT vilaza, nchi kama Iran, China n.k ambako kuna wasomi kuliko nyie vilaza hawajawahi kuzuia na hawatoweza kuzuia App kama hizo na zipo zinafanya kazi huko kwao...
Kwani inashindikana kutengeneza JeieFu App ambayo itakuwa na built in VPN, ambapo mtumiaji anaweza kuiwasha anapohitaji na kuizima anapohitaji kama browser ya TOR? na ikuwepo playstore na iOS muda wote?
Mmeitoa Brave browser basi ipigeni marufuku na TOR kama mnaweza?
Mjitafakari sana sana , kinachofuatia itabidi tuelekee huko, hakuna namna, na mtambue hamtokuwa na uwezo wowote wa kuzuia JeieFu domain...
Haishindikani kuanzisha hii project hapo GitHub tukishirikiana ITs wa ndani na wa Kimataifa..