Tunaipokea treni ya mchongoko kwa shingo upande, ni kama ile ya zamani imechongwa kimchongo

Kwa hii CCM usiamini kila kitu, watakuwa wamewaambia wachina waichoronge mbele ili kuridhisha watanzania, huku wakijua fika ndio tunachotaka kuona, ila specifics zinabaki pale pale, 80kph...

Nchi ngumu hii under CCM!!
 
Mbona hii ni ya mchongoko ukaangalia Kwa makini hapo mbele Kuna part imetolewa ili iko kichwa kiweze kuvuta au kusukuma mabehewa na Kuna uwazi slots zinazoonyesha kwamba Kuna part imetolewa purposely
Imebumbwa
 
Yaani ukisikiaga kupigwa kimchongo ndo hii
 
Mbona hii ni ya mchongoko ukaangalia Kwa makini hapo mbele Kuna part imetolewa ili iko kichwa kiweze kuvuta au kusukuma mabehewa na Kuna uwazi slots zinazoonyesha kwamba Kuna part imetolewa purposely
Jamaa katumia nguvu kubwa sana kuandika Uzi,lakini ameandika pumba na ujuaji usio na msingi.

WaBongo kwa kulalamika na kutoa lawama Kila kitu tupewe taji la ushindi.

Upo sahihi mkuu.
 
Pichaaaaaaa
 
Jamaa katumia nguvu kubwa sana kuandika Uzi,lakini ameandika pumba na ujuaji usio na msingi.

WaBongo kwa kulalamika na kutoa lawama Kila kitu tupewe taji la ushindi.

Upi sahihi mkuu.
Hata juzi watu wadai max ni mtumbe
 
Wewe uliwahi kutengeneza hata baiskeli?, maana nchi hii Ina wasomi wengi wa nadharia mngekua mnaweza tusingetoa kandarasi nje
 
Kaufiche huo ujinga na ushamba wako. We umeshiriki kuunda treni yoyote? Mshamba moja tu hata hujawahi kupanda yoyote ya dizain hiyo unajifanya mtaalam kuandika upupu wote huu
 
Mbona hii ni ya mchongoko ukaangalia Kwa makini hapo mbele Kuna part imetolewa ili iko kichwa kiweze kuvuta au kusukuma mabehewa na Kuna uwazi slots zinazoonyesha kwamba Kuna part imetolewa purposely
Hata ndege ule mchongoko wa mbele pia uko hivyo ila ule unafungwa na kufunguliwa kama mlango.tatizo letu wabongo ni wajuaji na hatujui tunataka nini,ukute mwanzisha Uzi hata hii treni ya Mwakyembe hajapanda wala hajawahi kuiona live lkn anatoa tathmini utadhani yeye ni Eng wa hizo treni Kasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…