Tunaisaidiaje hii nchi ya Kenya yenye njaa?

Hali inatisha sana kwa majirani zetu,msaada wa dharula unahitajika sana hapa,tujinyime tumwokoe jirani yetu kwa kweli
 
Mkuu mi najitolea gunia zangu 10 za mpunga kwa ndugu yangu mk254.kabla sijaziweka ghalani ,na mahindi 5 kuunga mkono Juhudi.😎😎
 
Hii ripoti inatisha..

Bora Tanzania tuitishe kikao cha dharura na wenzetu Australia na Brazil tutoe msaada kwa vinchi njaa kama Kenya...

Kwani katiba mpya inasemaje?
 
Nendeni mkauze chakula Kenya, kutwa nzima kulalamika ohh Kenya ananunua mazao yetu anaprocess anakuja kutuuzia industrial products
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…