Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamsaidie kumnawishe bibi yako kijijini kwanzaSoon naweka ripoti
Hii ripoti inatisha..
Bora Tanzania tuitishe kikao cha dharura na wenzetu Australia na Brazil tutoe msaada kwa vinchi njaa kama Kenya...
Kati ya watu milioni 60^Zaidi ya Watanzania milioni 14 wanaishi maisha chini ya kiwango kisichokubalika cha ufukara^ ~ VP, Dkt. Mpango.
Masikini wa Tanzania anauwezo wa kumiliki mashamba na mifugo hasa vijijini^Zaidi ya Watanzania milioni 14 wanaishi maisha chini ya kiwango kisichokubalika cha ufukara^ ~ VP, Dkt. Mpango.
Kumbuka hao ^zaidi ya milioni 14^ maisha yao ni mbaya mbovu afadhali hata uchochole. Na, kumbuka, katiba inawalinda WATU WOTE, na wala siyo tu WATU WENGI. Umeelewa sasa!???Kati ya watu milioni 60
Wewe utoe wapi tani mbili za mchele? Usituone wajinga.Mimi natoa tani 2 za mchele na unga wa mahindi kilo 500.
Sio eti tunasemaga. Bali ni fact kwamba baba ya Obama ni Mjaluo kutoka Siaya hapa Kenya. Kama hupendi ukweli huo basi kajinyongeWamwambie Obama si wanasemaga ndugu yao hawa Nyang'au.
Nyie ni wajinga tayari, sina haja ya kuwaona. Yaani karne hii bado mnateseka na njaa!! 😭 😭😭Wewe utoe wapi tani mbili za mchele? Usituone wajinga.