Tunaisaidiaje hii nchi ya Kenya yenye njaa?

Tunaisaidiaje hii nchi ya Kenya yenye njaa?

Hali inatisha sana kwa majirani zetu,msaada wa dharula unahitajika sana hapa,tujinyime tumwokoe jirani yetu kwa kweli
 
Mkuu mi najitolea gunia zangu 10 za mpunga kwa ndugu yangu mk254.kabla sijaziweka ghalani ,na mahindi 5 kuunga mkono Juhudi.😎😎
 
Nendeni mkauze chakula Kenya, kutwa nzima kulalamika ohh Kenya ananunua mazao yetu anaprocess anakuja kutuuzia industrial products
 
Back
Top Bottom