Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwaajili ya mpenzi wake wa zamani

Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwaajili ya mpenzi wake wa zamani

sikia nikueleze, unapoanza mahusiano na mtu ni wazi kuna muda unaona kabisa hapa nimefika, na kama binadam hatufanani kimawazo wala mtazamo, mimi sijawah kujifariji ila ntakueleza jambo
Nadhani tunafanana hata mimi sijawahi asee kuwaza wala kutafuta x wangu, na maisha yangu yote sijawahi kurudiana na x hata mmoja huwa nikiondoka nimeondoka.
 
Yani nishindwe kuishi mimi nianze kuwaza ex😂😂😂 asante Mungu kuna ujinga sijawahi kuujaribu,nina kiburi cha uzina ktk hili
 
Sikia nikueleze, unapoanza mahusiano na mtu ni wazi kuna muda unaona kabisa hapa nimefika, na kama binadam hatufanani kimawazo wala mtazamo, mimi sijawah kujifariji ila ntakueleza jambo

Mpaka mnaamua mnaachana ni kwamba hamuwez kuwa pamoja tena na kila mtu kuendelea na maisha yake s ndio, sasa tumeachana nianze tena kucompare ex na alieopo inahusu?? kisa tu kamzidi sehem?? skia rafiki ni ngumu sana kuniamini lakini Mungu anaiona nafsi yangu hata huo ujinga wa kusema ex amemzidi sehem alieopo sijawah kuufanya, sijawah kukwama popote nikamtafta ex anisaidie, sjawah kuwasiliana na ex yoyote yule baada ya kuachana huyu ni mimi na najivunia kwa hili

Wewe kama huwez bas usilazimishe kila mtu asiweze kama wewe. na kila mtu ana namna yake alivyojipangia hivyo usilazimishe sana nifit kwenye namna yako
Seen
 
Wakuu habari zenu kwanza!!! Nami nimeona nichangie kidogo kwenye uzi huu kama ifuatavyo; Ni ukweli usiopinga kuwa watu wengi wameoa||wameolewa na watu wasio wa machaguo yao na ndio maana ukiwauliza wanandoa kama wangepewa nafasi ya kuoa||kuolewa_Je,wangemchagua mtu huyo huyo tena??

Nafikiri wengi majibu tunayajua yangekuwaje[emoji16]!!!! Maisha yako ni matokeo ya machaguo yako,hivyo basi katika kuchagua jitahidi sana UCHAGUE yule wa SIZE yako hata kama nae alikuwa na size yake lakini ikampwaya[emoji41]__Ipo hivi ukiona HUYO MTU UMEMSHINDWA WEWE haimaanishi WOTE WATAMSHINDWA,kwani huyo uliyemshindwa wewe kuna WENGINE WANAMWEZA[emoji57]!!!! Nawatakia siku njema...
umeongea point na mimi nikiambiwa nichague wa kunioa tena ningemchagua huyu huyu hata mara milioni
 
Km Hv
20211213_201909.jpg
 
Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwa ajili ya mpenzi wake wa zamani, mahusiano hayadumu siku hizi kwasababu tunawapata watu wanaowapenda na kuwakumbuka watu wao wa zamani, tunakabiliwa na ukosefu wa amani ambao hatukuusababisha sisi.

Tunachumbiana na kuwa kwenye mapenzi na watu ambao wanataka kuwaonesha watu wao wa zamani kuwa wana uwezo wa kuishi bila wao, ni ukweli uliowazi kuwa tupo na watu ambao wanataka kuwaonesha watu wao wa zamani kuwa wana furaha kuliko wao, in short tunashughurika na ku uunda moyo ambao hatukuuvunja sisi, wanapima mapenzi waliyokuwa wanapewa zamani na unayompa wewe, kifupi tunapigana vita nyingi bila kujua.
Umeongea ukweli na uwazi

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Yani nishindwe kuishi mimi nianze kuwaza ex😂😂😂 asante Mungu kuna ujinga sijawahi kuujaribu,nina kiburi cha uzina ktk hili

Nifweeeee tu kuliko kuaibisha utu wangu namna hiyo,,

yaani mimi pia halinikuti hilo ni heri nipambane na shida zangu tu

Not real me nkiachana na mtu imeisha hiyo hata hisia kwake zinakufa mazima.

Mimi Huwa Sina tabia ya kufuta namba ya mwanamke tukiachana , japo siwatafuti ila naona hata kumiliki namba tu ni madhaifu.
 
Mimi Huwa Sina tabia ya kufuta namba ya mwanamke tukiachana , japo siwatafuti ila naona hata kumiliki namba tu ni madhaifu.
Kuwasiliana na ex ukapata msisimko huo ndo udhaifu kwa mtazamo wangu
 
Mimi kwa sasa nimeolewa, na sijawahi kujihusisha kuwaza kama na yeye ana mtu ana mzuzua huko nje bora napewa basic needs inatosha na kamwe siwez mchunguza
matured enough[emoji122][emoji122]
 
Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwa ajili ya mpenzi wake wa zamani, mahusiano hayadumu siku hizi kwasababu tunawapata watu wanaowapenda na kuwakumbuka watu wao wa zamani, tunakabiliwa na ukosefu wa amani ambao hatukuusababisha sisi.

Tunachumbiana na kuwa kwenye mapenzi na watu ambao wanataka kuwaonesha watu wao wa zamani kuwa wana uwezo wa kuishi bila wao, ni ukweli uliowazi kuwa tupo na watu ambao wanataka kuwaonesha watu wao wa zamani kuwa wana furaha kuliko wao, in short tunashughurika na ku uunda moyo ambao hatukuuvunja sisi, wanapima mapenzi waliyokuwa wanapewa zamani na unayompa wewe, kifupi tunapigana vita nyingi bila kujua.
Changamoto inakuwa kubwa kwa wale ambao hatujawahi kuwa na wapenzi.
 
Unajua hata kimaisha unapoamka huwezi kuwaza jana ilishapita hiyo lazima uwaze siku uliopo na siku zinazokuja kama uzima utajaaliwa, sasa imagine mmeachana halaf bado una hold on na ex atakufikisha wapi??

Ukianza kuwaza mambo yaliyopita huwez kusonga mbele sababu kuna muda utatamani uishi hizo nyakat ukarekebishe palipo na makosa kitu ambacho hakiwezekani ni kukubali na kukubali kujifunza kutokana na makosa

Na shida mtu ukiongea ya moyoni watu wanaona unafake kitu ambacho s cha kweli mimi hivi ndio naishi na si kwamba sina ex walikuwepo na ukiniuliza wanaendeleaje jibu ni sijui na wala sitaki kujua sababu kila mtu ana maisha yake
Inategemeana umeachana vipi na ex wako. Kama mmeachana kwa uzuri bila magomvi mtakumbukana. Mimi ex wangu ana mume nawasiliana naye vizuri. Pesa namtumia tunaongea Sana.
 
Sikia nikueleze, unapoanza mahusiano na mtu ni wazi kuna muda unaona kabisa hapa nimefika, na kama binadam hatufanani kimawazo wala mtazamo, mimi sijawah kujifariji ila ntakueleza jambo

Mpaka mnaamua mnaachana ni kwamba hamuwez kuwa pamoja tena na kila mtu kuendelea na maisha yake s ndio, sasa tumeachana nianze tena kucompare ex na alieopo inahusu?? kisa tu kamzidi sehem?? skia rafiki ni ngumu sana kuniamini lakini Mungu anaiona nafsi yangu hata huo ujinga wa kusema ex amemzidi sehem alieopo sijawah kuufanya, sijawah kukwama popote nikamtafta ex anisaidie, sjawah kuwasiliana na ex yoyote yule baada ya kuachana huyu ni mimi na najivunia kwa hili

Wewe kama huwez bas usilazimishe kila mtu asiweze kama wewe. na kila mtu ana namna yake alivyojipangia hivyo usilazimishe sana nifit kwenye namna yako
Mimi nakuamini sababu Nina Msimamo kama wako!! Sijawahi kuendeleza Mawasiliano na Ex yyte na akinisumbua sana nabadili namba! Pia Nia yangu huwa Safi kwa the Next Man Bila kubeba Past Baggage.. Ila wanaume ni ngumu ku move on especially kama yeye ndo aliachwa na Mwanamke!! You can never Fix a Broken Man!!
 
Na kuna wakati unaweza ukampata aliyebora zaidi ya wote ila ujinga wako kichwani ukakudanganya ukaanza kung'ang'ania mahusiano ya zamani, hapo ndo wengi wameharibu hata ndoa zao kwa ujinga kama huo!
Wanang'ang'ania Sehem wasiyopendwa kwasababu hawataki kuaccept kwamba hawapendwi! Wengine Wana Abandonment issues....
 
Kuishi kwenye past ni utaahira uliotukuka
 
Back
Top Bottom