Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwaajili ya mpenzi wake wa zamani

sikia nikueleze, unapoanza mahusiano na mtu ni wazi kuna muda unaona kabisa hapa nimefika, na kama binadam hatufanani kimawazo wala mtazamo, mimi sijawah kujifariji ila ntakueleza jambo
Nadhani tunafanana hata mimi sijawahi asee kuwaza wala kutafuta x wangu, na maisha yangu yote sijawahi kurudiana na x hata mmoja huwa nikiondoka nimeondoka.
 
Yani nishindwe kuishi mimi nianze kuwaza ex๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ asante Mungu kuna ujinga sijawahi kuujaribu,nina kiburi cha uzina ktk hili
 
Seen
 
umeongea point na mimi nikiambiwa nichague wa kunioa tena ningemchagua huyu huyu hata mara milioni
 
Umeongea ukweli na uwazi

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Yani nishindwe kuishi mimi nianze kuwaza ex๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ asante Mungu kuna ujinga sijawahi kuujaribu,nina kiburi cha uzina ktk hili

Nifweeeee tu kuliko kuaibisha utu wangu namna hiyo,,

yaani mimi pia halinikuti hilo ni heri nipambane na shida zangu tu

Not real me nkiachana na mtu imeisha hiyo hata hisia kwake zinakufa mazima.


Mimi Huwa Sina tabia ya kufuta namba ya mwanamke tukiachana , japo siwatafuti ila naona hata kumiliki namba tu ni madhaifu.
 
Mimi Huwa Sina tabia ya kufuta namba ya mwanamke tukiachana , japo siwatafuti ila naona hata kumiliki namba tu ni madhaifu.
Kuwasiliana na ex ukapata msisimko huo ndo udhaifu kwa mtazamo wangu
 
Mimi kwa sasa nimeolewa, na sijawahi kujihusisha kuwaza kama na yeye ana mtu ana mzuzua huko nje bora napewa basic needs inatosha na kamwe siwez mchunguza
matured enough[emoji122][emoji122]
 
Changamoto inakuwa kubwa kwa wale ambao hatujawahi kuwa na wapenzi.
 
Inategemeana umeachana vipi na ex wako. Kama mmeachana kwa uzuri bila magomvi mtakumbukana. Mimi ex wangu ana mume nawasiliana naye vizuri. Pesa namtumia tunaongea Sana.
 
Mimi nakuamini sababu Nina Msimamo kama wako!! Sijawahi kuendeleza Mawasiliano na Ex yyte na akinisumbua sana nabadili namba! Pia Nia yangu huwa Safi kwa the Next Man Bila kubeba Past Baggage.. Ila wanaume ni ngumu ku move on especially kama yeye ndo aliachwa na Mwanamke!! You can never Fix a Broken Man!!
 
Na kuna wakati unaweza ukampata aliyebora zaidi ya wote ila ujinga wako kichwani ukakudanganya ukaanza kung'ang'ania mahusiano ya zamani, hapo ndo wengi wameharibu hata ndoa zao kwa ujinga kama huo!
Wanang'ang'ania Sehem wasiyopendwa kwasababu hawataki kuaccept kwamba hawapendwi! Wengine Wana Abandonment issues....
 
Kuishi kwenye past ni utaahira uliotukuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ