Kwa kuwa sheria za uchgauzi za Sasa hazimruhusu mtu kupigia Kura eneo lolote alipo na badala yake anapaswa kusafiri kwenda sehemu alikojiandikishia, Basi tunaitaka Serikali kutoa ruhusa ya Siku nne kwa wafanyakazi watakaosafiri kwenda kupiga Kura walikojiandikishia.
Mtakumbuka kuwa siku za hivi karibuni Tume ya Uchaguzi waliwahamasisha watu wakapige Kura hata Kama walijiandikishia mbali kwani hata masuala ya mipira watu wamekuwa wakisafiri umbali mrefu sembuse kusafiri kwenda kutumia haki yako ya msingi.
Nami Kama mtanzania ambaye pia ni mfanyakazi wa Serikali naitaka Serikali inipe ruhusa ya kwenda kutumia haki yangu.
Nimeajiriwa Kigoma Ila nilijiandikishia Mtwara hivyo nitatumia takribani siku nne kwenda Mtwara, kupiga Kura na kurudi Kigoma kuendelea na majukumu yangu. Serikali ifanye hivi kwa kila mfanyqkazi ambaye anataka kwenda kutumia haki yake ya kupiga Kura.
Ni matumaini yangu kuwa suala hili litafanyiwa kazi