Sawa sawa kabisa na naona huyo mdosi na familia yake wanajivuna kwa maana ya kutoa jina la nchi na hata mji wanao (bolded) wakati kwao Bombay wameishabadilisha jina hilo siku nyingi na kuuita mji wao jina la asili-Mumbai.Huyo mdosi anaitwa Mohamed Iqbal Dar
Mkuu,Tanganyika sio tatizo letu.
Ukiumwa kansa, panadol haisaidii.
Huyo mdosi anaitwa Mohamed Iqbal Dar
Mkuu,
Unadhani Tanganyika ni taifa la nani? Linastahili kuwepo au la..!
Azania???Mimi binafsi sivutiwi na jina la Tanganyika na kama katiba mpya itatambua uwepo wa serikali tatu mimi kwa maoni yangu ni bora sisi wa upande wa Tanzania bara tubaki na jina la Tanzania bara au litafutwe jina lingine.
Ukweli neno "Tanzania bara" does not sound well and it is not appeaing to the senses.
Haya ni mawazo yangu.
Je,wewe mwana JF mwenzangu una maoni gani?
Tunaweza kuanza kutoa maoni kupitia JF ingawa katiba mpya bado haijapatikana ila uwezekano wa serikali tatu ni mkubwa kwa kuangalia mazingira ya sasa na maoni ya walio wengi.
Azania???
Tanganyika ni jina tu kama lilivyo Tanzania....bad enough ni jina lilipowewa nchi na wajerumani (Tanga + Nyika) ikiwa na maana baada ya kufika Tanga kuna nyika kubwa tu mpaka ziwani ambalo ndio ziwa Tanganyika....lakini kupanga pia ni kuchagua
Tanganyika kwanza.
Well said comrade,Tanganyika yetu, Tanzania ni mwungano wa tanganyika na zanzibar. Sisi ni watanganyika bhana! Tunaitaka na kuipenda Tanganyika yetu.
Ndio sifa ya historia kukukumbusha wapi umetoka upo wapi na pia kuweza kukupa mwelekeo wapi unaweza kuelekea. SIPENDI NENO TANZANIA BARA. Liondoke kabisa kwenye katiba. mnapenda kuwaabudu wazungu mbona wao wanatunza asili yao
Tunataka rikali yetu ya tanmganyika. Kwa nini tume inaficha historia yetu? Kimsingi muungano ni wa nchi mbili zanzibar na taganyika na wala si zanzibar na tanzania bara.
We want our tanganyika back!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mhhhh....... Hapaerewekiii hapoo