Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Botswana kuna watu kutoka Kenya, ug na nchi zingine wameamua kuwekeza
Kuna wafugaji wamepewa maeneo makubwa wamefungua Ranch za uhakika
Ng'ombe za Boran zimejaa na kuna ulinzi wa hali ya juu tena polisi
Kuna patrol 24 hrs
Huwezi kuondoa mifugo sehemu moja kwenda kwingine bila taarifa polisi
Nchi hiyo ina neema kwa sababu wameifanya hivyo
Hata thamani ya hela ipo juu kwa sababu hakuna waizi wa mabilioni kama kwetu