Tunajua Diaspora wamechanga mamia ya mamilioni kwa ajili ya kampeni, Tundu Lissu na genge lake wamezipeleka wapi?

Tunajua Diaspora wamechanga mamia ya mamilioni kwa ajili ya kampeni, Tundu Lissu na genge lake wamezipeleka wapi?

Hela hizo karibu milioni 900 Lissu na genge lake wamezifunikia wapi?
Wajinga ndio wali wao

Wacha wapigwe na timu Lisu kutuma pesa kwa ndugu zao wabahili kama nini

Asante kwao diaspora kuleta pesa za kigeni tanzania zipigwe na hao matapeli wenu

Tuna uhaba wa pesa za kigeni cha msingi wameleta ziko Tanzania kwa matumizi ya Tanzania hazirudi huko nchi zao
 
Unasema unajua diaspora wamechanga pesa.

Mara ghafla unasema "karibu milioni 900"

Mara ghafla unasema hujui zilipo.

Hizo akili zinapatikana Lumumba kwenye form moja na zidumu fikra za mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom