chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Jan 20, 2025 #1 Hela hizo karibu milioni 900 Lissu na genge lake wamezifunikia wapi?
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 25,725 Reaction score 78,589 Jan 20, 2025 #2 chiembe said: Hela hizo karibu milioni 900 Lissu na genge lake wamezifunikia wapi? Click to expand... Umeziona?.
chiembe said: Hela hizo karibu milioni 900 Lissu na genge lake wamezifunikia wapi? Click to expand... Umeziona?.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Jan 20, 2025 Thread starter #3 Carlos The Jackal said: Umeziona?. Click to expand... Ndio, wanampa lemma tu
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Jan 20, 2025 #4 chiembe said: Hela hizo karibu milioni 900 Lissu na genge lake wamezifunikia wapi? Click to expand... mgawaji jambazi lema, sijui itakuaje aise. anadai eti pesa zote amelipia press conferences
chiembe said: Hela hizo karibu milioni 900 Lissu na genge lake wamezifunikia wapi? Click to expand... mgawaji jambazi lema, sijui itakuaje aise. anadai eti pesa zote amelipia press conferences
Ausar JF-Expert Member Joined Mar 19, 2021 Posts 2,369 Reaction score 3,800 Jan 20, 2025 #5 Mhh diaspora bongo....
M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 6,846 Reaction score 10,288 Jan 20, 2025 #6 Carlos The Jackal said: Umeziona?. Click to expand... Maria kaenda kujitobia baada ya kutekwa
S Shotocan JF-Expert Member Joined Nov 21, 2023 Posts 6,650 Reaction score 12,711 Jan 20, 2025 #7 chiembe said: Hela hizo karibu milioni 900 Lissu na genge lake wamezifunikia wapi? Click to expand... Wajinga ndio wali wao Wacha wapigwe na timu Lisu kutuma pesa kwa ndugu zao wabahili kama nini Asante kwao diaspora kuleta pesa za kigeni tanzania zipigwe na hao matapeli wenu Tuna uhaba wa pesa za kigeni cha msingi wameleta ziko Tanzania kwa matumizi ya Tanzania hazirudi huko nchi zao
chiembe said: Hela hizo karibu milioni 900 Lissu na genge lake wamezifunikia wapi? Click to expand... Wajinga ndio wali wao Wacha wapigwe na timu Lisu kutuma pesa kwa ndugu zao wabahili kama nini Asante kwao diaspora kuleta pesa za kigeni tanzania zipigwe na hao matapeli wenu Tuna uhaba wa pesa za kigeni cha msingi wameleta ziko Tanzania kwa matumizi ya Tanzania hazirudi huko nchi zao
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 7,731 Reaction score 13,611 Jan 20, 2025 #8 Unasema unajua diaspora wamechanga pesa. Mara ghafla unasema "karibu milioni 900" Mara ghafla unasema hujui zilipo. Hizo akili zinapatikana Lumumba kwenye form moja na zidumu fikra za mwenyekiti.
Unasema unajua diaspora wamechanga pesa. Mara ghafla unasema "karibu milioni 900" Mara ghafla unasema hujui zilipo. Hizo akili zinapatikana Lumumba kwenye form moja na zidumu fikra za mwenyekiti.