Palmoni
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 1,968
- 3,760
Mashavu kawaida lakini kama kobra ndio sina Uhakika,,Embu niambie kwanini unakisirani na kisukari kiasi hicho Mamii??Mnafanana mashavu km kobra
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashavu kawaida lakini kama kobra ndio sina Uhakika,,Embu niambie kwanini unakisirani na kisukari kiasi hicho Mamii??Mnafanana mashavu km kobra
Mashavu yenu yananikumbusha cobra hivyo tuMashavu kawaida lakini kama kobra ndio sina Uhakika,,Embu niambie kwanini unakisirani na kisukari kiasi hicho Mamii??
Mashavu yetu yanakukumbusha kobra,au kobra ndio anakukumbusha mashavu Yetu?Mashavu yenu yananikumbusha cobra hivyo tu
Mashavu yenu karibu tule uyoga uyapunguzeMashavu yetu yanakukumbusha kobra,au kobra ndio anakukumbusha mashavu Yetu?
Nashukuru Mamii,,una uhakika yatapungua kwa kula haswa kwa kula uyoga ulionikaribisha kwa bashasha?na je una uhakika na unajiamini ya kuwa huo Uyoga hauna viambata vya sumu ukaniulia mbali,,au ni ule Mtamu uliojaa jaa niandae maziwa fresh?Mashavu yenu karibu tule uyoga uyapunguze
Hatuna wasanii tuna chawa in every sector, kujipendekexa pendekeza. No offence simpingi mtu anaempenda rais, even i do. But kuna haja ya kuwa extra?DAR ES SALAAM; Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faustina Charles ‘Nandy’, ameibuka kwenye mkutano na wanahabari akiwa ametinga vazi analosema ni kama mtindo wa nguo za Rais Samia Suluhu Hassan.
Nandy aliyekuja kuzungumzia tamasha lake litakalofanyika Mwanza kesho, alikuwa amevaa ushungi mweusi na vazi la suti nyekundu aina ya Kaunda.
Baada ya kuulizwa kuhusu uvaaji wa vazi hilo ikiwa ni mara yake ya kwanza akiwa katika muonekano huo, amesema anavutiwa sana na uvaaji huo wa Rais Samia, kiasi cha yeye kuamua kuiga akisema ni vazi zuri kwa wanawake.
“Rais ametupa vazi letu la kipekee ambalo ni zuri na wanawake kwa sasa wanavaa, nikaona na mimi niwakilishe. Nitaenda kwenye tamasha la Nandy kisamia,”amesema. Mwingine aliyevaa vazi kama hilo ni Yasirun Yasin ‘Yammi’
Ametaja baadhi ya wasanii watakaotumbuiza kwenye tamasha hilo ni Maya Christinah Xichavo ‘Sho Madjozi’ kutoka Afrika Kusini, William Lyimo ‘Billnas’, Saraphina Michael ‘Saraphina’, Stamina Sharobwenzi ‘Stamina’, Young Lunya na Yasirun Yasin ‘Yammi’
Amesema katika tamasha hilo litakalofanyika kwenye viwanja vya Elevante atatambulisha msanii mwingine wa kimataifa kama ‘surprise’.
Kwa upande wake William Lyimo ‘Billnas’, amesema amejipanga vizuri kufanya kazi sio kama mume bali msanii mwenye mkataba kama wengine na atahakikisha anaimba na bendi.
Chanzo: habarileotz
Ameanza Kuvaa tokea alipokuwa Makamu wa Rais mbona huko nyuma hatutukuona Ukijipendekeza Kwake na Kumsifia juu ya Uvaaji wake?
Hovyoo na ndiyo maana Unaishi kwa Matumaini.
Nchi hii wapumbavu bila uchawa hawatoboi....Amelenga!.
Duuuh!Usiamini wanawake, R , alikaamini akaweka pesa nyingi kwake akijua katasimamia, baada ya kufa kanazitumbua na nigga B , kakachota ile mipesa kakampa mtaji dogo janja, afungue duka la simu, wanatanua tu pesa ya marehemu
Yaani khaaa alivomalizia hapo chini sasa ! kibooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiii!!