Tunajua Unalazimisha huku Kujipendekeza Kwake ili mwakani uwe Mwandamizi katika Kuzunguka nae nchi nzima wakati wa Kampeni

Mashavu kawaida lakini kama kobra ndio sina Uhakika,,Embu niambie kwanini unakisirani na kisukari kiasi hicho Mamii??
Mashavu yenu yananikumbusha cobra hivyo tu
 
Usiamini wanawake, R , alikaamini akaweka pesa nyingi kwake akijua katasimamia, baada ya kufa kanazitumbua na nigga B , kakachota ile mipesa kakampa mtaji dogo janja, afungue duka la simu, wanatanua tu pesa ya marehemu
 
Mashavu yenu karibu tule uyoga uyapunguze
Nashukuru Mamii,,una uhakika yatapungua kwa kula haswa kwa kula uyoga ulionikaribisha kwa bashasha?na je una uhakika na unajiamini ya kuwa huo Uyoga hauna viambata vya sumu ukaniulia mbali,,au ni ule Mtamu uliojaa jaa niandae maziwa fresh?
 
Hatuna wasanii tuna chawa in every sector, kujipendekexa pendekeza. No offence simpingi mtu anaempenda rais, even i do. But kuna haja ya kuwa extra?
 
Usiamini wanawake, R , alikaamini akaweka pesa nyingi kwake akijua katasimamia, baada ya kufa kanazitumbua na nigga B , kakachota ile mipesa kakampa mtaji dogo janja, afungue duka la simu, wanatanua tu pesa ya marehemu
Duuuh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…