Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Mpaka sasa sijapata kujua kuwa kifungu cha 60 A(3) cha Education Act kinachowatia hatiani wanaowapa mimba wanafunzi kama kinafanya kazi.
Kuruhusu wanafunzi kurudi masomoni baada ya kupata mimba na kujifungua ni sawa na kuruhusu washiriki matendo ya ngono hata kabla ya kumaliza shule.
Sasa kama ndio hivi mbona kama mnahalalisha ngono kwa wanafunzi mnawakamata wanaoshiriki nao ngono?
Je, hamjui madhara ya mlichokihararisha? DC Kaliua aagiza mwalimu wa sekondari akamatwe