Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uneandika nini sasa?Ukiwa mzazi ndio unahalalisha kujiingiza kwenye ngono na kupata mimba kisa tu watarudi shule? Non sense.
Sijaona wala kusikia wajawazito au wenye watoto wakijumuika madarasani na wanafunzi shule za msingi au sekondari huko ughaibuni. Tafadhali nielemisheniMpaka sasa sijapata kujua kuwa kifungu cha 60 A(3) cha Education Act kinachowatia hatiani wanaowapa mimba wanafunzi kama kinafanya kazi.
Kuruhusu wanafunzi kurudi masomoni baada ya kupata mimba na kujifungua ni sawa na kuruhusu washiriki matendo ya ngono hata kabla ya kumaliza shule.
Sasa kama ndio hivi mbona kama mnahalalisha ngono kwa wanafunzi mnawakamata wanaoshiriki nao ngono?
Je, hamjui madhara ya mlichokihararisha? DC Kaliua aagiza mwalimu wa sekondari akamatwe
Kwa hiyo ukimnyima elimu ndio ume msaidia? People make bad choices ila wana jirekebisha. Sasa eti unamkomoa mtu kwa kumyima elimu huo ni uzwazwaUkiwa mzazi ndio unahalalisha kujiingiza kwenye ngono na kupata mimba kisa tu watarudi shule? Non sense.
kijiti ni salama zaidi.Kitazi ukiwawekea watapa PIDMuwekee kitanzi au njiti.
Bora nusu shali kuliko shali kamili
Hapo sawa.kiji
kijiti ni salama zaidi.Kitazi ukiwawekea watapa PID