Mimi nalia tu na Utandawazi, mazingira na hali ya sasa ni ngumu sana kumlinda mtoto asipewe ujauzito.
Shule ni haki yao, Warudi ila tuendelee kupambana kwa namna yoyote ile kuwakinga wasipewe mimba
Muwekee kitanzi au njiti.Mimi nalia tu na Utandawazi, mazingira na hali ya sasa ni ngumu sana kumlinda mtoto asipewe ujauzito.
Shule ni haki yao, Warudi ila tuendelee kupambana kwa namna yoyote ile kuwakinga wasipewe mimba
Acha watu wasome, akisoma na mtoto atashindwa kuelewa? chengeni mabweni kama hamtakiMpaka sasa sijapata kujua kuwa kifungu cha 60 A(3) cha Education Act kinachowatia hatiani wanaowapa mimba wanafunzi kama kinafanya kazi.
Kuruhusu wanafunzi kurudi masomoni baada ya kupata mimba na kujifungua ni sawa na kuruhusu washiriki matendo ya ngono hata kabla ya kumaliza shule.
Sasa kama ndio hivi mbona kama mnahalalisha ngono kwa wanafunzi mnawakamata wanaoshiriki nao ngono?
Je, hamjui madhara ya mlichokihararisha?DC Kaliua aagiza mwalimu wa sekondari akamatwe
Sheria ipo pale pale na sio kweli ngono imeruhusiwa,unapompa mimba mwanafunzi chini ya umri uliowekwa kisheria hiyo ni rape maana hakuna ole consent ya to have a sex na court of law itakuhusu;mimba mashuleni ni tatizo kubwa na halita kuja kumalizwa kwa sheria kali but education kwa wahusika wote.mtoto wa kike ana right ya kusomaMpaka sasa sijapata kujua kuwa kifungu cha 60 A(3) cha Education Act kinachowatia hatiani wanaowapa mimba wanafunzi kama kinafanya kazi.
Kuruhusu wanafunzi kurudi masomoni baada ya kupata mimba na kujifungua ni sawa na kuruhusu washiriki matendo ya ngono hata kabla ya kumaliza shule.
Sasa kama ndio hivi mbona kama mnahalalisha ngono kwa wanafunzi mnawakamata wanaoshiriki nao ngono?
Je, hamjui madhara ya mlichokihararisha?DC Kaliua aagiza mwalimu wa sekondari akamatwe
Kwan umri sahihi wa kumpa mwanafunzi mimba ni upi?😂😂😂 maana statement yako inaonesha kama vile kuna umri ambao mwanafunzi anaruhusiwa kubeba ujauzitounapompa mimba mwanafunzi chini ya umri uliowekwa kisheria hiyo ni rape
Sawa Sheria ipo ya kumlinda Mtoto wa kike,na inatoa adhabu kali sana kwa mtu anempaa Mimba Mwanafunzi maana amemkatishia masomo yake! Sasa Sheria hiyo hiyo imemruhusu Mtoto wa kike aendelee na masomo yake,kwa hiyo Sasa hivi hakatishwi masomo yake tena! Je unapo mfunga baba wa Mtoto kwa miaka 30 huoni pia umemnyima Mtoto huyohuyo kua na Baba!? Na Mama atabaki kua single mother!! Tafakari!!!!!!!!Sheria ipo pale pale na sio kweli ngono imeruhusiwa,unapompa mimba mwanafunzi chini ya umri uliowekwa kisheria hiyo ni rape maana hakuna ole consent ya to have a sex na court of law itakuhusu;mimba mashuleni ni tatizo kubwa na halita kuja kumalizwa kwa sheria kali but education kwa wahusika wote.mtoto wa kike ana right ya kusoma
Ana hangover za MarehemuDuh!! Nani kabariki ngono?
Wewe jamaa unaonekana either ni mprimitive sana, au mzee uliyepitwa na wakati au una roho ya kimaskini sana.Mpaka sasa sijapata kujua kuwa kifungu cha 60 A(3) cha Education Act kinachowatia hatiani wanaowapa mimba wanafunzi kama kinafanya kazi.
Kuruhusu wanafunzi kurudi masomoni baada ya kupata mimba na kujifungua ni sawa na kuruhusu washiriki matendo ya ngono hata kabla ya kumaliza shule.
Sasa kama ndio hivi mbona kama mnahalalisha ngono kwa wanafunzi mnawakamata wanaoshiriki nao ngono?
Je, hamjui madhara ya mlichokihararisha?DC Kaliua aagiza mwalimu wa sekondari akamatwe
Si watoto wote wa kike wako shule, na kwa matatizo tofauti. Unao tetea warudi baada ya kuzaa ni sehemu ndogo sana, lakini madhara ya kuwarudisha ni makubwa sana.Ukija kuwa mzazi utaelewa tu!!
Sasa sijui ulitaka mabinti wasiruhusiwe kusoma kabisa...