LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Dah! Acheni tu itokee maana hiki kikombe lazima tu nikinywe hakuna namna japo Bado Nina nafasi ya kubadili maamuzi
Kila kitu kinapande mbili yaweza kuwa pande Moja nzuri na nyingine mbaya au iwe nzuri zote au mbaya zote.
Huyu niliyenaye kwa sasa mm mapenzi kwake sifurahii
Mara anipangie mara nikimwamsha usiku ananiambia namsumbua dah! Yaani hakunaga hata kutaniana ni mtu wa siriazi muda wote
Hapendi kuongea sasa mm napenda kuongea na kucheka
Ukija tunakoishi waweza fikiria hakuna watu utasikia tu kelele za watoto hataki umbusu au amkumbatie kwake ni kero tupu
Sasa mm nafikiria Hana Tena hisia na mm
Nataka niondoke nimuachie kila kitu Ila Hana kazi Wala biashara alikuwa tu mm wa nyumbani
Sasa nawaza kuhusu watoto wangu itakuwaje? Je? Ataweza kuwalea maana nyumbani hataki kurudi
Pia nawaza huko niendako je naweza kuwa na amani kweli? Kuhusu familia yangu,
Laiti Kama angekuwa hanibanii tendo mengine ningevumilia tu.
Sasa Kuna Binti wa kitanga ambaye tayari nimeingia naye penzini na ananifurahisha yaani ni uhuru amekubali kuanza kulala chini na tayari kashabeba na mimba yangu.
Je? Nitapata amani Kama ambavo natarajia au naingia kwenye shimo ambalo kutoka kwake ni ngumu.
Watoto wangu Bado wadogo wa pili ana mwaka 1
Naombeni ushauri kwani Bado mm Kama mwanaume Nina nafasi ya kuamua lolot juu ya haya Mambo.