Tunakaribia kuachana ila naogopa sana itakuwaje kuhusu watoto wangu

Kwanza bwana mdogo, huyo mke alikuwa hivyo hivyo tangu unamuoa au hakuwa hivyo?
 
Dah! Acheni tu itokee maana hiki kikombe lazima tu nikinywe hakuna namna japo Bado Nina nafasi ya kubadili maamuzi

Kila kitu kinapande mbili yaweza kuwa pande Moja nzuri na nyingine mbaya au iwe nzuri zote au mbaya zote.

Huyu niliyenaye kwa sasa mm mapenzi kwake sifurahii
Mara anipangie mara nikimwamsha usiku ananiambia namsumbua dah! Yaani hakunaga hata kutaniana ni mtu wa siriazi muda wote
Hapendi kuongea sasa mm napenda kuongea na kucheka

Ukija tunakoishi waweza fikiria hakuna watu utasikia tu kelele za watoto hataki umbusu au amkumbatie kwake ni kero tupu

Sasa mm nafikiria Hana Tena hisia na mm

Nataka niondoke nimuachie kila kitu Ila Hana kazi Wala biashara alikuwa tu mm wa nyumbani
Sasa nawaza kuhusu watoto wangu itakuwaje? Je? Ataweza kuwalea maana nyumbani hataki kurudi

Pia nawaza huko niendako je naweza kuwa na amani kweli? Kuhusu familia yangu,

Laiti Kama angekuwa hanibanii tendo mengine ningevumilia tu.

Sasa Kuna Binti wa kitanga ambaye tayari nimeingia naye penzini na ananifurahisha yaani ni uhuru amekubali kuanza kulala chini na tayari kashabeba na mimba yangu.

Je? Nitapata amani Kama ambavo natarajia au naingia kwenye shimo ambalo kutoka kwake ni ngumu.

Watoto wangu Bado wadogo wa pili ana mwaka 1

Naombeni ushauri kwani Bado mm Kama mwanaume Nina nafasi ya kuamua lolot juu ya haya Mambo.
Sasa nisikilize vizuri nikusaidie,kila tatizo lina pande 2,tofauti ni nani ana mchango kiasi gani kwenye hilo tatizo,uko kwenye mgogoro na mkeo,je umefanya tathmini ni kwa kiasi gani wewe unachangia kwenye huo mgogoro? Maana haiwezekani kuwa ni mkeo tu ndio kasababisha huo mgogoro.Kaa chini na mkeo,ongea nae kutafutafuta ufumbuzi wa tatizo,usilikimbie tatizo maana huko uendako napo pia yapo matatizo je utayakimbia pia?
 
Mwanzo nilijua ni mwanamke ndo analalamika kuhusu mume wake kununaaa eehe kumbee dunia ishabadilikaaa..
 
Dah aisee yaani wewe kwa hiyo kunyimwa tendo unaamua kabisa na kuvunja ndoa yako? Hayo sio maamuzi sahihi huyo mtanga unamuona mali kwani hauishi naye, ni kweli mwisho wa siku furaha yako ndio muhimu ila nakushauri usiache ndoa yako na wanao kwa sababu uliyoitaja. Kwani unadhani watu wote kwenye ndoa wanapata waliyoyatarajia vingine ni kuvumiliana mkuu, Anyway wewe unajua zaidi.
 
Pole ndugu maisha ya ndoa yana mambo mengi sana mengine yapuuzie ili muweze kuwalea watoto wenu pamoja. Ila acha ubinafsi mkuu kujiangalia tu wewe badala yake fikiria malezi ya watoto wenu. Mara nyingi kwenye kuachana wanaotahirika kwa kiasi kikubwa ni watoto hasa wanapokosa malezi ya wazazi wote wawili. Kama papuchi na hayo malavidafi si tayari unayapata kwa huyo mtoto wa kitanga nini tena kingine unakitaka?
 
Usitoe ahadi ukiwa na furaha wala usichukue maamuzi ukiwa na hasira,
Kitendo cha kuanza mapenzi na huyo mtoto wa Tanga mpaka kumpa mimba,ni kuongeza tatizo juu ya tatizo,

Ulitakiwa kwanza uamue kuhusu hatma ya maisha yako na huyo uliye nae sasa kisha utulie kwanza kabla ya kuamua kua na Mwanamke mwingine,

Huyo uliye nae hana hisia na wewe,penzi limesha fika mwisho,ndio maana anakuona wewe kwake ni kero tu,wala usitegemee eti atakuja kubadilika,labda aigize tu ila hilo penzi limeshafika mwisho wa Reli,

Watoto wako ni wangapi? wana umri gani? jinsia zao je?
When one door is closed,don't u know another is open.

Pole sana Mkuu.
 
KATAA NDOA mwendo wa kujipakulia minyama tu🤗🤗🤗 kila day ni point 3 za buree, hii ligi 🏆 tupewe chama kubwa KATAA NDOA hatuna mpinzani.

Ugekuwa zako SINGLE sasa hivi ungekuwa unajipigia tu MTANGA,unapewa miuno na watoto wa TANGA walivyo😋 unapewa uno na pole juu mixer kuitwa MKUU🙌🙌🙌wewe huyo mkeo sahau kumrudia na MAGUBU YAKE. Hapo kwa mdigo umenasa kama ndege kwenye ulimbo. Hata ukitaka nyuma utapewa hao watoto wa TANGA ni nyoko🥱

Hapo MKICHOKANA unabadili chuma unavuta nyingine.

Ona sasa unavyopata shida wakati ungeweza kufanya maamuzi sahihi tangu awali.Umeshachafua cleansheet 😀😀😀

Kwa experience, wenzako ambao walifikia hiyo hatua huwa OPTION YA MAANA HAPO ILI IWE WIN WIN situation!!!Ni kumpandisha CHEO awe mke mkubwa wewe utakuwa hujapoteza nyumba yako na pia utakuwa na uhuru mwingi wa kwenda kuwaona watoto wako na kwa nature ya hao viumbe baada ya muda atajirudi na utakuwa unapopoa wote wawili ni HUMU TUU,maana wanapenda mashindano😀😀 natayari ushampa mshindani so UAMUZI NI WAKO,TULIZA FUVU!

#KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
 
Sijaona sababu ya maana ya kumwacha mke wako.
Hebu mtaftie biashara afanye kuganda sehemu moja kunachosha sana tena ukijumlisha usumbufu wa watoto ndio kabisa lazma upendo uyeyuke.
 
Dah! Acheni tu itokee maana hiki kikombe lazima tu nikinywe hakuna namna japo Bado Nina nafasi ya kubadili maamuzi

Kila kitu kinapande mbili yaweza kuwa pande Moja nzuri na nyingine mbaya au iwe nzuri zote au mbaya zote.

Huyu niliyenaye kwa sasa mm mapenzi kwake sifurahii
Mara anipangie mara nikimwamsha usiku ananiambia namsumbua dah! Yaani hakunaga hata kutaniana ni mtu wa siriazi muda wote
Hapendi kuongea sasa mm napenda kuongea na kucheka

Ukija tunakoishi waweza fikiria hakuna watu utasikia tu kelele za watoto hataki umbusu au amkumbatie kwake ni kero tupu

Sasa mm nafikiria Hana Tena hisia na mm

Nataka niondoke nimuachie kila kitu Ila Hana kazi Wala biashara alikuwa tu mm wa nyumbani
Sasa nawaza kuhusu watoto wangu itakuwaje? Je? Ataweza kuwalea maana nyumbani hataki kurudi

Pia nawaza huko niendako je naweza kuwa na amani kweli? Kuhusu familia yangu,

Laiti Kama angekuwa hanibanii tendo mengine ningevumilia tu.

Sasa Kuna Binti wa kitanga ambaye tayari nimeingia naye penzini na ananifurahisha yaani ni uhuru amekubali kuanza kulala chini na tayari kashabeba na mimba yangu.

Je? Nitapata amani Kama ambavo natarajia au naingia kwenye shimo ambalo kutoka kwake ni ngumu.

Watoto wangu Bado wadogo wa pili ana mwaka 1

Naombeni ushauri kwani Bado mm Kama mwanaume Nina nafasi ya kuamua lolot juu ya haya Mambo.
Mpaka hapo huna jeuri Wala huwezi kuachana unaigiza tuu hata ukizuga baada ya wiki mtarudiana 🤣🤣

Na Kwa kuwa mwanamke anajua kiwewe chako ni Watoto atazidi kukunyoosha Hadi akili zikae sawa.

Watoto alizaa yeye wewe unapata wenge la nini? Si atawalea mwenyewe wewe utakuwa msaidizi huko uliko
 
Dah! Acheni tu itokee maana hiki kikombe lazima tu nikinywe hakuna namna japo Bado Nina nafasi ya kubadili maamuzi

Kila kitu kinapande mbili yaweza kuwa pande Moja nzuri na nyingine mbaya au iwe nzuri zote au mbaya zote.

Huyu niliyenaye kwa sasa mm mapenzi kwake sifurahii
Mara anipangie mara nikimwamsha usiku ananiambia namsumbua dah! Yaani hakunaga hata kutaniana ni mtu wa siriazi muda wote
Hapendi kuongea sasa mm napenda kuongea na kucheka

Ukija tunakoishi waweza fikiria hakuna watu utasikia tu kelele za watoto hataki umbusu au amkumbatie kwake ni kero tupu

Sasa mm nafikiria Hana Tena hisia na mm

Nataka niondoke nimuachie kila kitu Ila Hana kazi Wala biashara alikuwa tu mm wa nyumbani
Sasa nawaza kuhusu watoto wangu itakuwaje? Je? Ataweza kuwalea maana nyumbani hataki kurudi

Pia nawaza huko niendako je naweza kuwa na amani kweli? Kuhusu familia yangu,

Laiti Kama angekuwa hanibanii tendo mengine ningevumilia tu.

Sasa Kuna Binti wa kitanga ambaye tayari nimeingia naye penzini na ananifurahisha yaani ni uhuru amekubali kuanza kulala chini na tayari kashabeba na mimba yangu.

Je? Nitapata amani Kama ambavo natarajia au naingia kwenye shimo ambalo kutoka kwake ni ngumu.

Watoto wangu Bado wadogo wa pili ana mwaka 1

Naombeni ushauri kwani Bado mm Kama mwanaume Nina nafasi ya kuamua lolot juu ya haya Mambo.
Kabla ya yote huko mlipotokea hakuwa muongeaji hivyohivyo?
Je alikuwa kikomando hivyohivyo?
Kama hakuwa hivyo kuna jambo limemfika .
Chunguza ulimkosea wapi
Au ndugu hasa mawifi wamemkwaza nini ukisha jua tatizo tiba tayari lakini USIRIASI WA MKEO SIO SABABU YA WEWE KUMUACHA
 
Wewe sema umepata penzi jipya limekuchanganya hadi unaforce kutafuta uhalali wa kucheat na kukimbia familia yako uhamie kwa mtanga.

Ukute wewe ni kero kwa mke wako ndio maana hacheki wala haongei ongei. Ungeanza kutafuta chanzo cha tatizo na sio kukimbia tatizo na uache Uasherati, sawa?
 
Dah! Acheni tu itokee maana hiki kikombe lazima tu nikinywe hakuna namna japo Bado Nina nafasi ya kubadili maamuzi

Kila kitu kinapande mbili yaweza kuwa pande Moja nzuri na nyingine mbaya au iwe nzuri zote au mbaya zote.

Huyu niliyenaye kwa sasa mm mapenzi kwake sifurahii
Mara anipangie mara nikimwamsha usiku ananiambia namsumbua dah! Yaani hakunaga hata kutaniana ni mtu wa siriazi muda wote
Hapendi kuongea sasa mm napenda kuongea na kucheka

Ukija tunakoishi waweza fikiria hakuna watu utasikia tu kelele za watoto hataki umbusu au amkumbatie kwake ni kero tupu

Sasa mm nafikiria Hana Tena hisia na mm

Nataka niondoke nimuachie kila kitu Ila Hana kazi Wala biashara alikuwa tu mm wa nyumbani
Sasa nawaza kuhusu watoto wangu itakuwaje? Je? Ataweza kuwalea maana nyumbani hataki kurudi

Pia nawaza huko niendako je naweza kuwa na amani kweli? Kuhusu familia yangu,

Laiti Kama angekuwa hanibanii tendo mengine ningevumilia tu.

Sasa Kuna Binti wa kitanga ambaye tayari nimeingia naye penzini na ananifurahisha yaani ni uhuru amekubali kuanza kulala chini na tayari kashabeba na mimba yangu.

Je? Nitapata amani Kama ambavo natarajia au naingia kwenye shimo ambalo kutoka kwake ni ngumu.

Watoto wangu Bado wadogo wa pili ana mwaka 1

Naombeni ushauri kwani Bado mm Kama mwanaume Nina nafasi ya kuamua lolot juu ya haya Mambo.

Hakuna mwanamke asiyetaka mapenzi, wanamla huko nje, ondoka tu, you will be fine!
 
Suala la kunyimwa unyumba ni "Elephant in the room". Na linaua ndoa nyingi taratibu. Isingekuwa watoto webgi wangeshaachana.
 
Back
Top Bottom