Tunakataliwa kufanya maandamano ili watawala watawale kwa oppression

Tunakataliwa kufanya maandamano ili watawala watawale kwa oppression

Eclaire

Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
93
Reaction score
222
Kuhusu tozo la miamala kwa umoja wetu tulilala kupitia mitandandao ya kijamii. Tuliambiwa Rais alisikia kilio chetu na analifanyia kazi. Maelezo yaliyotolewa na msemaji mkuu wa serikali yalikua haya:
1628745388514.jpeg


Juzi katika mahojiano na BBC, Raisi anatushukuru Watanzania kwa kukubali tozo la miamala. Tulikubali lini hili tozo. Kwakua mna kata za maandamano ambayo katika nchi zenye utawalawa wa kidemokrasia hii ndiyo njia ya wananchi kufikisha mawazo yao kwa watawala. Sasa mnatawala kwa kuwa oppress wananchi.
 
Mnieleweshe ni msemaji wa Serikali au wa Chama dola.

Serikali si wananchi. Kama wananchi wanalalamika kuhusu tozo iweje unasema sheria ilishapita
 
Mnieleweshe ni msemaji wa Serikali au wa Chama dola.
Serikali si wananchi.Kama wananchi wanalalamika kuhusu tozo iweje unasema sheria ilishapita
Kama sheria ilipitisha kwanini shukran za kukubali tozo ziende kwa wananchi?
 
Mnieleweshe ni msemaji wa Serikali au wa Chama dola.

Serikali si wananchi. Kama wananchi wanalalamika kuhusu tozo iweje unasema sheria ilishapita
Sharia ilipitishwa bungeni . Wabunge wamechaguliwa na wananchi.

Mkitataka msitake Serikali ndio wananchi.
Serikasi imepigiwa kura na wananchi.
 
Back
Top Bottom