Kuhusu tozo la miamala kwa umoja wetu tulilala kupitia mitandandao ya kijamii. Tuliambiwa Rais alisikia kilio chetu na analifanyia kazi. Maelezo yaliyotolewa na msemaji mkuu wa serikali yalikua haya:
Juzi katika mahojiano na BBC, Raisi anatushukuru Watanzania kwa kukubali tozo la miamala. Tulikubali lini hili tozo. Kwakua mna kata za maandamano ambayo katika nchi zenye utawalawa wa kidemokrasia hii ndiyo njia ya wananchi kufikisha mawazo yao kwa watawala. Sasa mnatawala kwa kuwa oppress wananchi.