Tunakikumbatia kiswahili saana. Mkutano mkubwa wa kimataifa watu wanataka kujua nini kinaendelea. Tafuteni wazungumzaji wa lugha ya kiingereza

Tunakikumbatia kiswahili saana. Mkutano mkubwa wa kimataifa watu wanataka kujua nini kinaendelea. Tafuteni wazungumzaji wa lugha ya kiingereza

Fairly understood.

I hv watched a couple of summits, head of states inauguration ceremonies where journalists chip here and there just for headups..... it doesn't hv to be formal or too organized.....
Tenets of Diplomatic Protocol and Etiquette demand that every journalist attending international summit must first be accredited. It involves background checks and issuing media credentials for security purposes and convenience. So you can't just jostle your way in.

I understand your concern though.​
 
Limkutano likubwa mnaweka watangazaji wa TBC wanaowaogopa wageni.

Kikeke yupo hapo....Yunusi yupo hapo. Iteni watu wanaoweza kuwahoji wageni wawahoji Marais kadri wanavyoingia nchini. Hii ni fursa ya kujitangaza na kujijengea heshima.

Tuchangamke wabongo.

Na kesho ndiyo itakuwa aibu kama ilivyokuwa kwa mkalimani wa Dodoma kipindi Magufuli anaapishwa.....Wabongo ambao wanaweza kuzungumza kiingereza wapo ....wapeni nafasi.
unamfaham Essero Mafulu? Au unachangamsha mdomo tu? Tbc ina watangazaji wabobevu hao akina kikeke au zuhura ni zao la hao tbc
 
unamfaham Essero Mafulu? Au unachangamsha mdomo tu? Tbc ina watangazaji wabobevu hao akina kikeke au zuhura ni zao la hao tbc
Alikuwa wapi msiba wa Magufuli? Unamkumbuka mkalimani?

Bongo kama haujaishi nje kiingereza chako ukiongea inabidi tujifiche vyooni hadi umalize
 
Problem is, TZ has no internationally reputable media outlet. Neither, TBC nor Azam TV have foreign audiences.

And incase you don't know, it's hard to schedule an interview with international dignitaries, especially heads of states. Unless you're a top-dog like BBC or VOA, you can never make a head of state want to talk to you.​
Thats is not the only problem, tz has no powerful international presence on foreign level that will interact foreign interest

From currency, economy to policy, nothing draws foreign interest at large
 
Hili tatizo hatutaki kukubali kuwa ni tatizo, wahusika kuendelea kukinadi kiswahili ni yale yale ya kuficha insecurities, ajabu sasa kwenye interview za ajira unakutana na kinge. Niseme tuu mtu anaedai kiswahili sijui nini na nini anawachuuzaa wanyonge.
 
Alikuwa wapi msiba wa Magufuli? Unamkumbuka mkalimani?

Bongo kama haujaishi nje kiingereza chako ukiongea inabidi tujifiche vyooni hadi umalize
sasa yule kwenye msiba wa Jpm alikua mtumishi wa tbc au mkalimani wa Ikulu? Mbona humu jamii forums siku hizi wamejaa wajinga na wabishi wa hovyo namna hii?
 
Thats is not the only problem, tz has no powerful international presence on foreign level that will interact foreign interest

From currency, economy to policy, nothing draws foreign interest at large
In a modern world, led by Quantum Computing, Big Data and Artificial Intelligence, Tanzania has chosen to cling to a previous century political dinosaurs like Wassira at the helm of her political power.

What more can we expect than turning this state into a bizzare gerontocracy that sleepwalks itself into oblivion ?​
 
Limkutano likubwa mnaweka watangazaji wa TBC wanaowaogopa wageni.

Kikeke yupo hapo....Yunusi yupo hapo. Iteni watu wanaoweza kuwahoji wageni wawahoji Marais kadri wanavyoingia nchini. Hii ni fursa ya kujitangaza na kujijengea heshima.

Tuchangamke wabongo.

Na kesho ndiyo itakuwa aibu kama ilivyokuwa kwa mkalimani wa Dodoma kipindi Magufuli anaapishwa.....Wabongo ambao wanaweza kuzungumza kiingereza wapo ....wapeni nafasi.
Hata hapa JF nikiandika Kiingereza cha kawaida tu, kuna watu wanalalamika Kiingereza kigumu.

Nikiwaambia watu hiki Kiingereza cha kawaida, si kigumu, Watanzania wengi ndio wagumu kutumia Kiingereza cha kawaida, inaonekana kama nawatukana.
 
Mkuu TBC yenye TBC News ya Kiingereza kila siku Saa 4 Usiku TBC1 inakosa vipi Watangazaji wa Kiingereza kuwahoji wageni? TBC yenye Watangazaji kama Mussa Twangilo, Essero Mafuru, Fredrick Nwaka nk waliobobea kwenye masuala ya Afrika wanakosa vipi Watangazaji wanaoijua Afrika na Dunia kwenye kuuliza maswali na kujenga hoja? Unafahamu ITIFAKI ya Wakuu wa Nchi wanapowasili nchini kwako? Fuatilia Mikutano hii YouTube; Beijing Summit of the Forum on China-Africa Cooperation 2024 (Mkutano kati ya Rais wa China na Viongozi wa Afrika) na Russia - Africa Summit 2023 (Mkutano kati ya Rais wa Urusi na Viongozi wa Afrika) uje utuambie Waandishi waliruhusiwa wapi kuhoji Marais Uwanja wa Ndege. Si vyema kudharau vilivyo vyetu bila kutafiti Uhalisia.
 
Honestly...... Las but no lis it's a matter of diplomatic and international relations...

Thank you
 
In a modern world, led by Quantum Computing, Big Data and Artificial Intelligence, Tanzania has chosen to cling to a previous century political dinosaurs like Wassira at the helm of her political power.

What more can we expect than turning this state into a bizzare gerontocracy that sleepwalks itself into oblivion ?​
Well tz gov is still the same, stucked in 60s,70s old ways, refuse to grow, afraid of the future or resist any future changes
but the time is running out, they cant hide forever
 
Limkutano likubwa mnaweka watangazaji wa TBC wanaowaogopa wageni.

Kikeke yupo hapo....Yunusi yupo hapo. Iteni watu wanaoweza kuwahoji wageni wawahoji Marais kadri wanavyoingia nchini. Hii ni fursa ya kujitangaza na kujijengea heshima.

Tuchangamke wabongo.

Na kesho ndiyo itakuwa aibu kama ilivyokuwa kwa mkalimani wa Dodoma kipindi Magufuli anaapishwa.....Wabongo ambao wanaweza kuzungumza kiingereza wapo ....wapeni nafasi.
Dunia imekuacha mbali mnoo, endelea kusoma magazeti ya "the sun" mambo ya technology huyajui ndo sababu ya uzi wako
 
Mi Binafsi kiswahili hakina maana yeyote tuachane nacho tuweke kingereza kua lugha ya mawasiliano na kufundushia.
 
Mjapan hajawahi kujisikia aibu kuongea lugha yake, Mchina pia, Mwarabu pia, Mreno pia. Hata Mfaransa pia, Muingereza pia.

Mwarabu ana majina yake ya asili, Mzungu pia, Mchina kabisa halafu kuna Mwafrika wa Kishumundu anayeitwa Precious kwa kushirikiana na Dada yake anayeitwa Khadija wanamcheka msukuma mkokotenu wa watu anayeitwa Zawadi.

Nafikiri kuna tatizo kubwa kwenye kichwa cha mtu mweusi.

Hatukatai English ni lugha kubwa ila inapofikia hatua unamuona Mtanzania mwenzako asiyeweza kunyoosha hiyo lugha kwa ufasaha na huku ukikiona Kiswahili ni fedheha kimaitaifa, that's so low of you, my brother.

You are better than that.
 
Journalists at national television stations like TBC should be skilled in languages beyond English, such as Chinese and Arabic e.t.c to effectively communicate with interviewees from diverse backgrounds. In today's digital age, news is broadcast widely across platforms like YouTube, requiring journalists to engage with individuals from various cultures. Thus, it is essential for journalists to enhance their language proficiency to navigate these interactions successfully. Kidumu chama Tawala.👍🏽
 
Problem is, TZ has no internationally reputable media outlet. Neither, TBC nor Azam TV have foreign audiences.

And incase you don't know, it's hard to schedule an interview with international dignitaries, especially heads of states. Unless you're a top-dog like BBC or VOA, you can never make a head of state want to talk to you.​
Mkuu nitafrsirie tafadhali, umenipeleka marikit
 
Back
Top Bottom