Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Usipotoshe watu,Kristo atakuja kuwachukua walio hai na wafupi watafufuliwa Kwanza.Hakuna mahali kwenye Biblia kwamba ukifa kwa matendo mema unaenda Mbinguni au mabaya inakuwa motoni!Waliteswa, wakafa, wakazikwa kisha wakafufuka pamoja na Kristo katika mauti yake.
Leo hii wako ndani ya Kristo. Na Kristo ameketi mbinguni kwa Mungu baba.
Maana yake wao wapo Mbinguni ndani ya Kristo, ndio maana ya Kuokolewa na Kristo.
Kuna hasara nyingi unapata unapokunywa pombe kuliko faida, correction hakuna faida, kwann unachagua hasara?Wasiguse pombe tu. Tutagombana.
Nijuavyo mimi msingi wa maandiko ni ukombozi wa mwanadamu..Msingi mzima wa maandiko yote ni tuishi hapa duniani na mwisho wa maisha yetu tutahukumiwa
NZENGELI ni msabato, hajaokoka.Baada ya Mchungaji Mch. Abiud Misholi Kutamka adharani kwamba ni Ushetani mkubwa Mlokole kushabikia mpira Mwimbaji wa nyimbo za injili na SHABIKI mkubwa wa Yanga African @Ann_annie kafunguka ya moyoni na kusema....
"Kuna Max Nzengeli na Kennedy Musonda wameokoka sasa na wanacheza mpira itakuwaje??
Mabasi yenyewe tunayopanda ni ya washirikina biashara nyingi tunakoenda kununua vitu wawekezaji ni hao hao washirikina, sadaka tunazotuma kwa wachungaji tumezipata kwa hao hao washirikina na cha ajabu wachungaji hawazikatai hizo sadaka ... Niseme tu ni Yesu tu anayetulinda".
Hivi ndivyo alivyofunguka mwimbaji wa gospel, nimemuelewa vizuri kabisa, ila mchungaji Misholi sijamuelewa kabisa.
Bila shaka tunakoelekea, hata kuoga na sabuni ya GSM tutakuja kuambiwa ni dhambi 🤔
Correct, hayo mafunzo ya ukifa moja kwa moja unaenda motoni hayana msingi wowote kutoka kweny mafundisho ya yesuHakuna mahali kwenye Biblia kwamba ukifa kwa matendo mema unaenda Mbinguni au mabaya inakuwa motoni!
Matendo yako mema hayawezi kukuokoa.Naomba niwakumbushe kwamba tutahukumiwa kwa kadiri ya matendo yetu
Wasalaam wana JF Kwa wale wanaoamini uzima wa milele yaani maisha baada ya kufa yenye raha (mbinguni) na yale yenye mateso (motoni) Ni hivi, kigezo ni kimoja tu matendo yetu, kwa urahisi wa rejea tusome: Ufunuo 20:13 Bahari ikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake; na Mauti na Kuzimu zikawatoa...www.jamiiforums.com
Labda wewe. Mi kinyume chake.Kuna hasara nyingi unapata unapokunywa pombe kuliko faida, correction hakuna faida, kwann unachagua hasara?
Wakati wa kuokoka ni sasa, ukishaamini tu umeokoka, ukianguka dhambini kuna toba ya kukurejesha katika wokovu."Ata
"Ata" ni wakati gani huo maana haijaandikwa anaokoka ila ataokoka
Kristo gani unayemsubiri kuwa atakuja?Usipotoshe watu,Kristo atakuja kuwachukua walio hai na wafupi watafufuliwa Kwanza.Hakuna mahali kwenye Biblia kwamba ukifa kwa matendo mema unaenda Mbinguni au mabaya inakuwa motoni!
Y
Yule jambazi aliyesulubiwa na Yesu mbona alipita kiulaini tu.. Future tense ilihusika hapo?
Ni nani aliyekudanganya kuwa wakatoliki sio walokole?NZENGELI ni mkatoliki, hajaokoka.
kupunguza kiwango cha testosterone mwilini ni faida?Labda wewe. Mi kinyume chake.
nzengeli ni msabato, kwa habari ya wakatoliki, ni kweli hawaokoki, maria haokoi.Ni nani aliyekudanganya kuwa wakatoliki sio walokole?
Nilichogundua kwako ni hiki.... "hujui lolote kuhusu TOBA na hujui pia anayetoa msamaha hapangiwi la kufanya".Ukijipanga kutetea msimamo hutokuja kuelewa maandiko ndugu.
Jambazi anabahatika kuwa na Yesu mwenyewe Wakati anaumaliza mwendo.
Sasa Wewe upo mbwinde na majirani zako ni kina Asha ngedere na Mwajuma ndala ndefu unaokokaje hapo? Wewe subiri hukumu tu..!
Ndo Maana ile sala aliyofundisha Yesu mwenyewe mwishoni anamalizia usitutie katika vishawishi...! Vishawishi ni vingi unatakiwa uvishinde kwanza!
Wali na Ugali ni vyakula vya wanga vinavyochangia sehemu kubwa ya kupata kisukari na Magonjwa ya Moyo.kupunguza kiwango cha testosterone mwilini ni faida?
Kuchoma maini ni faida?
Kusinyaa kwa ubongo ni faida?
Kisukari ni faida?
Anyway not my business, good luck!
Mbona huna msimamo ndugu?nzengeli ni msabato, kwa habari ya wakatoliki, ni kweli hawaokoki, maria haokoi.
Sasa mechi za jmos itakuwajenzengeli ni msabato, kwa habari ya wakatoliki, ni kweli hawaokoki, maria haokoi.
Siyo kila Mchg ni mjumbe wa Mungu, wapo wengine ni wahuni kama wahuni wengine ila tu ni kwamba wana karama ya kutapeliHivi ndivyo alivyofunguka mwimbaji wa gospel, nimemuelewa vizuri kabisa, ila mchungaji Misholi sijamuelewa kabisa.
Walokole msije kiwanjani 🤣🤣Sasa mechi za jmos itakuwaje