Tunakoelekea ndoa nyingi kuvunjika sababu hakuna maji na umeme

Tunakoelekea ndoa nyingi kuvunjika sababu hakuna maji na umeme

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Habari wandugu

Seriously nimeshuhudia jamaa analalamika mke wake amesitisha kutoa chakula Cha usiku sababu hawana uhakika kuoga, ndani kunakuwa joto sababu fen haifanyi kazi jamaa anafikiria Leo asirudi nyumbani mapema apitie bar kwanza ....
 
Habari wandugu

Seriously nimeshuhudia jamaa analalamika mke wake amesitisha kutoa chakula Cha usiku sababu hawana uhakika kuoga, ndani kunakuwa joto sababu fan haifanyi kazi jamaa anafikiria Leo asirudi nyumbani mapema apitie bar kwanza ....
Mwambie ajifunze kupiga tako 3,,hutumiii nguvu nyingi wala jasho hutoki...
Hi ni style ya dharura.

Akisubiri maji atahatarisha ndoa yake.
 
Habari wandugu

Seriously nimeshuhudia jamaa analalamika mke wake amesitisha kutoa chakula Cha usiku sababu hawana uhakika kuoga, ndani kunakuwa joto sababu fan haifanyi kazi jamaa anafikiria Leo asirudi nyumbani mapema apitie bar kwanza ....
Hoja za kipumbavu sana watu wana chagamoto za maisha kuliko maji na umeme, mbona vijijini watu wanaishi vzri tu tena na furaha kuliko mjini, wakati wanaishi bila maji safi na salama umeme ndo sio kipaumbele kwao kabisa.
 
Habari wandugu

Seriously nimeshuhudia jamaa analalamika mke wake amesitisha kutoa chakula Cha usiku sababu hawana uhakika kuoga, ndani kunakuwa joto sababu fen haifanyi kazi jamaa anafikiria Leo asirudi nyumbani mapema apitie bar kwanza ....
Mwambie apige cha kuku cha haraka asipige cha Bata hadi alale
 
Ingekuwa hv bas waoishi vijijin wasingekuwa na ndoa.
Ila kwa namna moja au nyingine inaweza kuwa chanzo ila sio kwa kunyima kisa hakuna maji
 
Ntakuroga
images.jpeg

Huyo ndo saikoko. Roga tu..😂
 
Back
Top Bottom