Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio sababu Marekani aliendekeza utumwa na ubaguzi kwa baadhi ya tabaka la wananchi wake na sisi tufanye hivyo ?Kukopesheka Ni sifa ambayo sio kila mtu anaweza kuwa nayo. Hata Marekani anadaiwa. Ondoeni Shaka
Uchumi wa buluuKwahiyo kukopa kopa unaona ni sifa huku viungo vyote unavyo, rasilimali unazo. Hivi wewe una akili Kweli? Au unatumia nini kufikiria?
Badala ya kushindana kutumia rasilimali kutuletea maendeleo, wao wanashindana kukopa. Hizo ni akili au matope?
Tulia weweKukopesheka sio swala na mjadala wa kitaifa, mjadala ni mikopo ni mingi na itafika mahala hatuwezi kurejesha
We kibaraka ndiyo utulie,Tulia wewe
Huwezi kupita bila kuni quote we dudumiziTulia wewe
Kukopesheka Ni sifa ambayo sio kila mtu anaweza kuwa nayo. Hata Marekani anadaiwa. Ondoeni Shaka
Bado ndege tutagawana sawa kwa sawa. Hakuna kumpunja mtuWe kibaraka ndiyo utulie,
We jamaaaZanzibar Ni mda
Bado ndege tutagaesna sawa kwa sawa. Hakuna kumpunja mtu
Tulishawahi kushindwa kulipa?Tutaweza kulipa?
Tuna mikakati ya kulipa?
Tunaweza ijua mikakati ya kulipa?
tamu sana zile. pisi..mzee wa totoz za ud
Itakuwa maana hafilisikiChina anakopesha bado?