Tunakopesheka: Ondoeni hofu

Tunakopesheka: Ondoeni hofu

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Kukopesheka Ni sifa ambayo sio kila mtu anaweza kuwa nayo. Hata Marekani anadaiwa. Ondoeni Shaka
 
Kukopesheka Ni sifa ambayo sio kila mtu anaweza kuwa nayo. Hata Marekani anadaiwa. Ondoeni Shaka
Kwahio sababu Marekani aliendekeza utumwa na ubaguzi kwa baadhi ya tabaka la wananchi wake na sisi tufanye hivyo ?

Jambo baya au zuri ni baya au zuri sio baya au zuri sababu fulani na yeye anafanya
 
Kwahiyo kukopa kopa unaona ni sifa huku viungo vyote unavyo, rasilimali unazo. Hivi wewe una akili Kweli? Au unatumia nini kufikiria?

Badala ya kushindana kutumia rasilimali kutuletea maendeleo, wao wanashindana kukopa. Hizo ni akili au matope?
 
Uchumi wa buluu
 
Kukopesheka sio swala na mjadala wa kitaifa, mjadala ni mikopo ni mingi na itafika mahala hatuwezi kurejesha
 
Kukopesheka Ni sifa ambayo sio kila mtu anaweza kuwa nayo. Hata Marekani anadaiwa. Ondoeni Shaka
 
Tutaweza kulipa?

Tuna mikakati ya kulipa?

Tunaweza ijua mikakati ya kulipa?
 
Mkuu kwao sasa shida sio kukopesheka bali kwa nini Samia akope afu Zanzibar wapate Mgao 😆😆.

Wengine wanasema wanataka kujibana bana kwa tozo wakati hao hao ndio walikuwa wa kwanza kupinga tozo na ni hao hao wakinunua bidhaa huwa hawatoi wala kudai risiti hapo ndio utaona balaa la mswahili.

Hii inadhihirisha tuna watu wengi wajinga na wasiojitambua wanataka nini.
 
Back
Top Bottom