Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kweli alipambana akasomesha wananchi wake na akahakikisha kuwa taifa linakuwa na umoja na mshikano.
Lakini ukweli kuwa aliharibu uchumi wa taifa na kuliacha masikini huwa hauwekwi wazi.
Hayati Nyerere alisahau kupambania uchumi wa taifa lake. Akabaki kupigana vita kuzikomboa Uganda, Zimbabwe na Mosambiqui bila kusahau Afrika kusini.
Vita vya ukombozi alivyoshiriki vilisababisha taifa kubakia kuwa masikini mpaka leo hii.