Mkuu
Yericko Nyerere , kila siku huwa najiuliza, kwanini Chadema always ina fail?. Sasa ndio naanza kuielewa why and where!. Chadema haina kabisa ma strategists!, that is why it's a failed party!. Kama watu menyewe ndio kama hawa!.
- Kilichofanyika jana ni utekelezaji tuu wa matakwa ya katiba ya Zanzibar na sio majadiliano wala mwafaka wowote mpya.
- Kitendo cha Maalim Seif kukubali kujiunga na CCM kwenye GNU ni kuitambua serikali ya Dr.Mwinyi, kuyatambua matokeo na kutambua uchaguzi, hivyo ni kukubali matokeo, hivyo aliyeafiki ni Maalim.
- Baada ya ule mwafaka uliozaa GNU, kumefanyika chaguzi 3 na huwa hakunaga tena mazungumzo ya mwafaka. Matokeo yakitoka na yakiisha tangazwa, aliyeshinda ameshinda, the winner takes it all na aliyeshindwa ni the loser standing small. Hakuna madajidilano wala mazungumzo. Ni au ukubali matokeo ukaribishwe meza kuu au ukatae ukafie mbele!.
- Kwa Chadema, kiukweli hayo mnayoyafanya ni ujinga, utoto na you shows all signs of immaturity!. Huku mfumo wetu wa uchaguzi ni the winner takes it all, the loser standing small!, sasa nyinyi mshindwe halafu mseti conditions, mnamsetia nani?.
- Mimi kwa upande wangu nimeisha washauri Chadema the right thing to do, it's do or die, the choice is yours.
P