Tunakula bata kwa mkuu wa mkoa "Mungu wa Dar"

Bora mama yake alitangulia hii aibu sijui angekua anajisikiaje dada yake kaula UN na madili ya pesaa ye kutwa kujikomba matakoni kwa bashite Kunuka ushuzi ndio maana kama litahira zee la miaka sitini na ushee smh [emoji57][emoji57][emoji57]
Ki ray na jb kutwa kujikomba mfyuu njaa mbaya aisee kanumba kafa na bongo movie yake
 
Hahahaha, nafanya juhudi ili nikifikisha umri wa huyo Le Mutuz niwe nafanya adventure na leisure na wajukuu
 
Nenge ukiliweka penye mfuko wa rambo madhara yake ni haya. Nimejikuta nakumbuka shirika la posta na simu walikuwa na simu yao hiyo dungu jeusi unazunguusha namba tu hakuna haya mambo ya Selfie wala sifia.
 
Kwa hiyo unapoandaa mchoro na watu kama hawa unakuwa unategemea nini?
 
Le mutuz anatamani awe na miaka 20 Ha ha ha ha lakin ndio hivyo umri ulishakuacha...
 
Lemutuz nation ndio mshauri wa BashiteπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…