shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Huyu jamaa sijui yupo vp na jb nmemdharau toka leo huyo ray nilimdharau zaman sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka mpaka nimelia[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu lemtz angekuwa ndugu yangu ningemroga
Kwann mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huyu lemtz angekuwa ndugu yangu ningemroga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji83]Huyu lemtz angekuwa ndugu yangu ningemroga
Hahahaha nimecheka sana aiseeZamani ilikuwa wanawake ndio wakienda kwa Mwanaume wanatamba Siku hizi Wanaume wanaenda kwa Bashite wanafurahia kama vile wanatamani kuolewa hapo
Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh hahahahahuyo Lemutuz ananukisha fangasi sebuleni kwa watu wanamvumilia tu
Usishangae, ndege wafananao ndio warukao pamoja. Hao wasanii Ray na JB wamefulia kisanaa na ubunifu, wanatafuta pa kushika.Huyu jamaa sijui yupo vp na jb nmemdharau toka leo huyo ray nilimdharau zaman sana
Zamani ilikuwa wanawake ndio wakienda kwa Mwanaume wanatamba Siku hizi Wanaume wanaenda kwa Bashite wanafurahia kama vile wanatamani kuolewa hapo
HahahahaNchi hii ukifa kwa stress ni ujinga wako tu hahahah[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]