Mwanaume unapiga picha kwa mwanaume mwenzio na kujisifia...sio riziki hao
Katika hao Nani Mwanaume hapo? Tutake radhi Wanaume Maalim wangu![emoji120][emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume unapiga picha kwa mwanaume mwenzio na kujisifia...sio riziki hao
Hvi katika kundi lao, yupo mwenye marinda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zamani ilikuwa wanawake ndio wakienda kwa Mwanaume wanatamba Siku hizi Wanaume wanaenda kwa Bashite wanafurahia kama vile wanatamani kuolewa hapo
Ohoooo!!!huyo Lemutuz ananukisha fangasi sebuleni kwa watu wanamvumilia tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]you know![]()
Umesema!!!...Rudia tena tafadhali, nilikuwa namsikiliza Gwajima.Zamani ilikuwa wanawake ndio wakienda kwa Mwanaume wanatamba Siku hizi Wanaume wanaenda kwa Bashite wanafurahia kama vile wanatamani kuolewa hapo
Umbile lake linafaa kugeuzwa nyatiHuyu lemtz angekuwa ndugu yangu ningemroga
Another fool without integrity![]()
Hhaa haha haa haaaa !!!
The best post of a day.Huwajui hawa. Akili zao Kama za mwenyeji wao.
Tumeshawazoea
Kuleni bata ndugu zangu, nawakubali sana tu!![]()
Hhaa haha haa haaaa !!!
![]()
Hhaa haha haa haaaa !!!
Hahahahahahahahahaha.....Awapige na mtungo kabisa aanza na huyo tumbotumbo