Wandugu Iwant to set the record strait here!
Inasemekana ule utani kwa wajomba zangu Wa-He-He kuwa wanakula MBWW ni kutokana na wao kuipenda mboga ya majani ya maharage al maarufu I-nyadoogi.
Kisa kilianza walipokutwa na mzungu mwingereza aliyetaka kufahamu kuwa wanakula mlo gani; Ndipo alipojibiwa
Twilya ugali ni nyadoogi tafsiri: Tuanakuala ugalina mboga ya majni ya maharage!
Lakini Mzungu yule alichukua neno Doogi kuwa ni mbwa na nadio haya ya leo ya uncles zangu kuitwa wala mbwa.