Tunakula ugali ni nyadoogi

Tunakula ugali ni nyadoogi

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,829
Reaction score
1,303
Wandugu Iwant to set the record strait here!

Inasemekana ule utani kwa wajomba zangu Wa-He-He kuwa wanakula MBWW ni kutokana na wao kuipenda mboga ya majani ya maharage al maarufu I-nyadoogi.

Kisa kilianza walipokutwa na mzungu mwingereza aliyetaka kufahamu kuwa wanakula mlo gani; Ndipo alipojibiwa
Twilya ugali ni nyadoogi tafsiri: Tuanakuala ugalina mboga ya majni ya maharage!

Lakini Mzungu yule alichukua neno Doogi kuwa ni mbwa na nadio haya ya leo ya uncles zangu kuitwa wala mbwa.
 
bela maskini jeuri ndauli? hahaa watajinyonga hawa watani wangu bure maana hawakawii
 
Beh tohongishye kwa kusemaga kaukweli😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:
 
Back
Top Bottom