GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tuendelee kufurahia mara ya mwisho mwisho Ushindi wa kumfunga Marumo Gallants FC Goli 2 za kindondocha kwani tarehe 17 Mei, 2023 tutakuwa na huzuni kubwa na kurejea kuendelea na Madafu NBC Rushwa Rushwa GSM Premier League yetu.
Wenye akili tunajua Yanga SC ameshatoka tayari katika hatua hii ya Nusu Fainali ya CAFCC kwani hata afanyeje hawezi kutoka Afrika Kusini wiki ijayo.
Kudadadeki.
ANGALIZO: Kwa wewe (kisokolokwinyo (muwashwaji muwashwaji) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na mada zake/Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali tusichoshane na acha kabisa kusoma na hata kuchangia bali watafute Members wengine unaowaona ni bora kwako na unawakubali kuliko mimi.
Nimemaliza.