Tunakumbushana: Marumo Gallants walishafungwa Ugenini 4-1 na USM Algers, 2-0 na Al Akhdar ila kwao wakashinda 4-1 na 2-0 na kuvuka

Tuendelee Kufurahia mara ya mwisho mwisho Ushindi wa Kumfunga Marumo Gallants FC Goli 2 za Kindondocha kwani tarehe 17 Mei, 2023 tutakuwa na Huzuni Kubwa na kurejea kuendelea na Madafu NBC Rushwa Rushwa GSM Premier League yetu.

Wenye Akili tunajua Yanga SC ameshatoka tayari katika hatua hii ya Nusu Fainali ya CAFCC kwani hata afanyeje hawezi kutoka Afrika Kusini Wiki ijayo.

Kudadadeki.

ANGALIZO

Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.

Nimemaliza.
Hii ni nusu fainali mkuu sio mechi za makundi hizi kusema kuwa unakusanya point, Hizi mechi 2 nyumbani na ugenini zinachezwa kwa akili kubwa, rejea mechi za yanga ugenini imeruhusu goli ngapi? Mechi ya south africa ina game plan yake usifikiri Nabi ni mjinga kiasi icho, Malumo uliowaona kipindi cha pili ndio malumo watakaocheza kwa kushambulia mwanzo mwisho na hapo ndio wataingia mkenge wa kuchapwa goli lingine kwa counter attack kwa kuwa sioni malumo wakimfunga yanga goli 2 au 3 kulingana na ukuta mathubuti wa yanga uliotengenezwa kwa sasa,
Yanga anayo 75% ya kutinga fainali
 
Mh football inadundaa
 
Sawa Chambuzi Popoma la JamiiForums.
 
Na hii ndo Yanga ilioimbiwa na Pepe Kale na mwaka huu lazima lipigwe colabo la dimondi na kofi olomide
 
Tuendelee Kufurahia mara ya mwisho mwisho Ushindi wa Kumfunga Marumo Gallants FC Goli 2 za Kindondocha kwani tarehe 17 Mei, 2023 tutakuwa na Huzuni Kubwa na kurejea kuendelea na Madafu NBC Rushwa Rushwa GSM Premier League yetu.

Wenye Akili tunajua Yanga SC ameshatoka tayari katika hatua hii ya Nusu Fainali ya CAFCC kwani hata afanyeje hawezi kutoka Afrika Kusini Wiki ijayo.

Kudadadeki.

ANGALIZO

Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.

Nimemaliza.
Dua la Kuku hilo!! Yanga hawatakufa kiume mzee.
 
Hivi Katika watu wenye akili na wewe umo?
Basi nchi hii Ina watu matahila
 
Leo c bure damu zinakutoka huko chin cyo kwa kuwashwa huku
 
Unateseka ukiwa wapi? Maana kwa povu hili tarehe 17/05 ikiwa tofauti na Dua lako unaweza jipiga kitanzi.
 
Tuendelee Kufurahia mara ya mwisho mwisho Ushindi wa Kumfunga Marumo Gallants FC Goli 2 za Kindondocha kwani tarehe 17 Mei, 2023 tutakuwa na Huzuni Kubwa na kurejea kuendelea na Madafu NBC Rushwa Rushwa GSM Premier League yetu.

Wenye Akili tunajua Yanga SC ameshatoka tayari katika hatua hii ya Nusu Fainali ya CAFCC kwani hata afanyeje hawezi kutoka Afrika Kusini Wiki ijayo.

Kudadadeki.

ANGALIZO

Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.

Nimemaliza.
Wewe utabakia daima kuwa Popoma, na Mfa maji tu. 🚮
 
Sasa hao Al Kadar ndio Yanga dunduka wewe ? Kabla si mlisema Yanga hawana uwezo wa kumfunga Marumo eti kwa kuwa walipata droo na Pyramids kule Misri . Mtakufa kwa Sonona simbilisi nyinyi mkubali tu Yanga is the next level
 
Back
Top Bottom