Washabaiki wa yanga bhana,huwa wanateseka na yanga yao mbovu sana[emoji3][emoji3][emoji3]basi Azizi ki na Diarra watakuwa hawajitambui maskini kuichezea club ndogo Sana kama yanga ambayo haipo hata kwenye club kumi bora barani Afrika.
Inonga ameonekana ni mcheza bora kwasababu anachezea timu kubwa na bora ya kwanza Tanzania,africa mashabiki na kati,na ya 7 katika bara la Africa,na timu pekee inayowania kucheza kombe la Dunia 2025,na timu pekee iliyocheza Super league Tanzania,africa mashabiki na kati na timu hiyo ni SIMBA SC..mayele kwasababu alichezea timu iliyojitafuta kucheza hatua ya makundi ya club bingwa kwa miaka 30,tukumbuke SIMBA SC wakati huo tokea nchi ipate uhuru inacheza club bingwa kila siku na imefika robo final mara 5 na nusu final 1974 na yanga ni timu karibia ya 40 barani afrika ambayo ni yanga,ndio mana Mayele amewekwa benchi awape wanaume maji yakunywa...yanga ingekuwa at least ni timu yenye hadhi kama Apr ya Rwanda mayele angepangwa
Nb niweke sawa yakwamba timu timu yeyote mbovu inaweza kuchukua kombe la ligi kuu kwasababu ligi ya Tanzania inachezeshwa na waamuzi wabovu,wabahasha na wenye ushabiki hivyo wanaingia na matokeo mfukoni,na hatimaye kuipa timu mbovu matokeo ikabeba kombe la ligi kuu..mfano mechi ya jana ya kagera na yanga..kagera wamenyimwa bao la wazi na hawa waamuzi uchwara na kuibeba yanga itoke droo na kagera..ndio maana hakuna mwamuzi yeyote wa Tanzania aliyechaguliwa SECAFA..wangechezesha wangefanya taifa star ichukue Afcon cup kwasababu ni mataira..yanga makombe mengi ya ligi kuu aliyochukua ni makombe ya waamuzi sio ya yanga