Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Poa Inonga anaenda kuipeleka Congo 10 bora na kuipa Mali ya Diarra nje ya 10 bora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imeenda![emoji23][emoji23][emoji23][emoji2935]Huna aibu, Enyimba kacheza super league ana mchezaji Gani wapi? Unaongelea robo fainali mara 5 unasahau timu ya kwanza kucheza robo fainali Tanzania ni Young Africans mwaka 1969 na 1970 kabla hata hujazaliwa. Fainali caf confederation cup unajisahaulisha. Kombe lililomsababisha Benchika na mayele waonekane. Kanuti Putin raia wa Mali kama Diarra mbona hakuitwa. Golikipa AYOUB lakred ni Morocco anachezea Simba ya super league mbona hajaitwa. Ninyi mmeanza kuleta post za kishamba za Inonga na Mimi nimeamua kuwa mshamba zaidi yenu. JIBU HOJA: SIMBA HAINA MCHEZAJI KWENYE TIMU ZA TAIFA KUMI BORA BARANI AFRIKA FIFA RANKING SISI TUNA AZIZ KI NA DIARRA