Wapendwa nimetoka kuongea na Kaizer na ameniTAARIFU kuwa nyumba yao imebarikiwa mtoto wa KIUME...........
Mungu mwenyezi utukuzwe kwa utukufu wako tunaoendelea kuushuhudia! Tunawaombea afya njema Mtoto, Baba na Mama hawa! Uwalinde eeeh Mungu wa Majeshi.........shetani asijipe nafasi katika uchanga wa mtoto na uchovu wa mama! Tunazifunga nguvu zote za ibilisi katika UTATU MTAKATIFU.....Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu!
hongera kaizer na family yk , jitahidi kuwa karibu na mke na mtoto , kamwe usianzishe small hs manake kipindi hk wanaume wengi hukosa aibu kwa madai
Wanazidiwa hamu . Teh teh nakutania mwaya.