Tunakushukuru Mungu kwa ajili ya familia Ya Kaizer!

Tunakushukuru Mungu kwa ajili ya familia Ya Kaizer!

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,829
Reaction score
1,303
Wapendwa nimetoka kuongea na Kaizer na ameniTAARIFU kuwa nyumba yao imebarikiwa mtoto wa KIUME...........

Mungu mwenyezi utukuzwe kwa utukufu wako tunaoendelea kuushuhudia! Tunawaombea afya njema Mtoto, Baba na Mama hawa! Uwalinde eeeh Mungu wa Majeshi.........shetani asijipe nafasi katika uchanga wa mtoto na uchovu wa mama! Tunazifunga nguvu zote za ibilisi katika UTATU MTAKATIFU.....Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu!

AMEN!
 
Waoo hongereni sana kwa ujio wa baraka
Pole nyingi kwa mama mtoto
Mbarikiwe sana


 
Asante sana MJ kwa
Hii taarifa nzuri..

hongera Kaizer na familia yako
nawatakia afya njema mama na mtoto..
baraka za Mwenyeenzi Mungu zizidi
kuwa nanyi..
Amen
 
wooow baby boy??!!!!!!! alf mabrouk inshallah,,,,may god bless u all in ur familly with healthy and peace,,,
 
Sifa na utukufu tunamrushia Mungu. Kaizer hongereni sana Mungu aendelee kuwatunza.
 
Mungu awajalie afya njema mama na mtoto.na pia nampa Hongera nyingi Kaizer kwa kuujaza ulimwengu kama Mungu alivyoagiza.wabarikiwe wote
 
hongera sana Kaizer......niwatakie afya njema mama na mtoto na wewe pia
 
hongera kaizer na family yk , jitahidi kuwa karibu na mke na mtoto , kamwe usianzishe small hs manake kipindi hk wanaume wengi hukosa aibu kwa madai
Wanazidiwa hamu . Teh teh nakutania mwaya.
 
Afya njema na makuzi mema katika hofu ya Mungu ndivyo zawadi kubwa kwa mtoto wenu!
Hongereni sana
 
Hongera sana Kaizer, Mungu awape afya njema Mama na Mtoto.
 
wamlee mtoto vizuri ili akue katika kimo na hekima
 
Hapa baba unamuweka wa nini
hapa unatakiwa utuambie kuwa mama na mtoto wanaendelea vizuri.

hahahahahahah lol
we Ivunga baba muhimu sana hapo my dear....
na baba ndo sisi tunaemfahamu hapa JF...
 
Back
Top Bottom