Tunakushukuru Mungu kwa ajili ya familia Ya Kaizer!

Hongera kaizer.
Mungu awalinde na kuwapigania. Salamu kwa katoto.
 
Woooooooooooooooooowwwww!..................great to have a new baby.
Hongereni saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana baba na mama wa new baby.
Mbarikiwe sana na mungu awe na nyinyi daima.
 
Wakulu wote hapa kwa niaba ya mama na mtoto ASANTENI, tunawapenda wote, tuko pamoja. Asanteni kwa wishes na sala zenu....badi tupo kwen heka heka but we are all fine..

Kidude cha senks kimeendaga wapi?
 
Reactions: BAK

Kimeenda Loliondo kupata kikombe cha Babu ili kikirudi kiwe na ari mpya na nguvu ya kuwepo hapa jamvini. Hongera Mkuu.
 
Kimeenda Loliondo kupata kikombe cha Babu ili kikirudi kiwe na ari mpya na nguvu ya kuwepo hapa jamvini. Hongera Mkuu.

dah thanks mkuu BAK.....nimeshangaa sana kumbe na chenyewe kimeenda kwa kikombe ama kinajivua gamba.....lets see
 
Hongera sana, baba hakikisha mama anapata vyakula vya moto moto na katoto kapate joto la kutosha. God be with u all.
 
Congrats Kaizer, God bless you all, and a big kiss to mama na mtoto.
 
Utukufu tunakurudishia Mungu,

Hongera Kaizer na mama....

Mungu awatunze na azidi kuwabariki!
 
Mimi sijaelewa.
 
Hongera sana Kaizer, Mwenyezi Mungu awajalie afya njema mama na mtoto, na familia nzima kwa ujumla......amen!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…