Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika umekuwa mzalendo halisi wa Znz
napendekeza uo mshangazi uwe ni #Evelyn salt.Baka anatakiwa apewe mshangazi wowote apa JF
Kocha mwenyewe hana nidhamu,tuwaone wakizidiwa kwenye club bingwa kama hawatapigwa kadi za kutoshaSikushangaa nilivyoona tu Baka Anabembea Kwenye Mabega Ya Mwenzie nikajua Kwa Refa anayejielewa Lzm Umeme Utahusika..!
Kilichonishangaza,ni Vipi Yule Babu Aucho na Mudadhir kama wameweza kucheza bila Umeme kwa jinsi walivyokuwa wanacheza kibabe.!
Refa angekuwa fair , kulikuwa na Red Tatu pale.
Gamondi Kashindwa Kbs Kusimamia Nidhamu.!
Imefikia hatua Hadi Aziz ki Kadi ya njano inamfuata Kwenye benchi, na Yeye anajifanya kocha Msaidizi anamsaidia Gamondi.!
It is Shame..
Unajisikiaje kwa kipigo hiki cha hawa nyuma mwikoHeee kazi ipo
Aziz ki anapayuka akiwa nje alipokuwa ndani hakuna kitu alifanya.Sikushangaa nilivyoona tu Baka Anabembea Kwenye Mabega Ya Mwenzie nikajua Kwa Refa anayejielewa Lzm Umeme Utahusika..!
Kilichonishangaza,ni Vipi Yule Babu Aucho na Mudadhir kama wameweza kucheza bila Umeme kwa jinsi walivyokuwa wanacheza kibabe.!
Refa angekuwa fair , kulikuwa na Red Tatu pale.
Gamondi Kashindwa Kbs Kusimamia Nidhamu.!
Imefikia hatua Hadi Aziz ki Kadi ya njano inamfuata Kwenye benchi, na Yeye anajifanya kocha Msaidizi anamsaidia Gamondi.!
It is Shame..
Nyoo mliataka muwe wangapi?Si mlitimia nyie kwa kisenge mkala kadi nyekundu.Yanga huwezi kuifunga ikiwa kamili hilo linajulikana Azam wasijisifu bado hawajafikia ubora wa Yanga. Walichofanya leo ni mwendelezo wao wa kukamia Yanga na kufungwa kirahisi na Simba na vibonde wengine.
Naomba kuwakumbusha mabeki wetu Uto kuwa hakuna sababu ya kumzuia mshambuliaji aliekutoka maana ni 50/50 anapokutana na Diarra, Ateba aliachwa akiwa offside na Diarra akaokoa, Baka hakuwa na sababu ya kumdandia Saaduni kuchukua red card ya kijinga na tumefungwa kwa masifa yake tunaomba liwe fundisho kwake next time akipitwa aache tu mshambuliaji akakutane na Diarra na hata tukifungwa tukiwa kamili goli huwa linarudi tu, Baka akumbuke yuko timu kubwa hata tukifungwa huwa tunarudisha tukiwa kamili. Ule ujinga amefanya ni wa mabeki wa vitimu vidogo kama Azam na Simba, Yanga ni timu Kubwa akumbushwe.
Wanayanga hatujaumia hata kidogo sababu tumefungwa tukiwa pungufu na Azam mkamiaji si mpinzani wetu, sisi tunayotaka kuifunga ni Simba tu.
Daaa aiseee😳😳😳Yanga wanacheza Judo uwanjani, tumesema sana sana sanaaa lkn kwakuwa waamuzi wako GSM payroll hakuna adhabu. Leo mbeleko imetoboka
Kuna yule anayejiita Mshangazi humu JF nadhani atamfaa.Baka anatakiwa apewe mshangazi wowote apa JF
Pengo la Ramadhan Kayoko limeonekana leo,nyuma mwiko bila Kayoko ni kama Ihefu tu.Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)View attachment 3142184
Yanga huwezi kuifunga ikiwa kamili hilo linajulikana Azam wasijisifu bado hawajafikia ubora wa Yanga. Walichofanya leo ni mwendelezo wao wa kukamia Yanga na kufungwa kirahisi na Simba na vibonde wengine.
Naomba kuwakumbusha mabeki wetu Uto kuwa hakuna sababu ya kumzuia mshambuliaji aliekutoka maana ni 50/50 anapokutana na Diarra, Ateba aliachwa akiwa offside na Diarra akaokoa, Baka hakuwa na sababu ya kumdandia Saaduni kuchukua red card ya kijinga na tumefungwa kwa masifa yake tunaomba liwe fundisho kwake next time akipitwa aache tu mshambuliaji akakutane na Diarra na hata tukifungwa tukiwa kamili goli huwa linarudi tu, Baka akumbuke yuko timu kubwa hata tukifungwa goli huwa tunarudisha tukiwa kamili. Ule ujinga amefanya Baka ni wa mabeki wa vitimu vidogo kama Azam na Simba, Yanga ni timu Kubwa akumbushwe golini tuna kipa bora wa ligi huyo Saaduni wala asingefunga.
Wanayanga hatujaumia hata kidogo sababu tumefungwa tukiwa pungufu na Azam mkamiaji si mpinzani wetu, sisi tunayotaka kuifunga ni Simba tu.
Makolokolo bila msaada wa Marefa kwa magoli ya offsides hamna timu, punguza mihemuko.Punguza dharau. Yanga Ina ukubwa gani? Zaidi ya kushinda Ligi kwa mbeleko ya marefa.