Acha comedy 😂😂😂 hayo unayosema hayana ukweli hata punje. Labda DRC ndio kuna vituko hivyo. Hapa kwetu hakuna huo usanii. Ndio maana tunakwenda nchi za nje. Haina maana hatuna mapungufu katika utoaji wa huduma kama kuchelewesha ndegeMkuu ni majanga mnaweza kubadilishiwa route ukasikia ndege inaenda Kigoma kwanza ndio Dar 😄
Kuna siku nimekaa na mzungu jirani ndege iko angani kapita rubani anaanguka anguka (anapepesuka)
Jamaa akaniuliza rubani kalewa? Nikamwambia welcome to Africa
Sasa unacheka ya mafuta, cheka na hii
Nb: hivi ndege inajua inaenda wapi? Mpaka igome kwenda kisa mafuta au tunaongelea mwewe hapa 😄
Basi tuliingizwa mujini