Tunakwama wapi? Malawian Airlines (ndege 2) Vs Air Tanzania (ndege 11)

Acha comedy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hayo unayosema hayana ukweli hata punje. Labda DRC ndio kuna vituko hivyo. Hapa kwetu hakuna huo usanii. Ndio maana tunakwenda nchi za nje. Haina maana hatuna mapungufu katika utoaji wa huduma kama kuchelewesha ndege
 
Ila pilots walevi wapo sana kila sehemu duniani au ndio hili unabisha boss?
Kuna American pilot alihukumiwa kwenda jela miezi 10 ilikuwa mwaka jana alikuwa apaishe ndege toka Edinburgh to New York akakutwa kalewa chakari
Sio huyo tu wapo wengi
Mwingine muingereza alikuwa arudi London toka Spain ila alikuwa amelewa vibaya
Wakamzuia aliporudi UK akatimuliwa kazi nakumbuka vizuri sana wakati huo kwani alikuwa anachukua mshahara mara 2 ya wangu
Ilikuwa Β£70,000 akapigwa chini
Sitanii mkuu labda nina sense of humour πŸ˜… ila sio muongo
 
Kama Air Tanzania itazuiwa SA basi tumuwezeshe Auric
 
Mkuu siyo kwamba tuna Kesi nyingi huko Nje!? Na yule Mzee wa MIGA ametishia ndege zetu zitakamatwa huko.
Bora ndege zetu tuendelee kubebana watano watano.
 
Kiwango chetu cha upumbavu kimeenda juu ghafla, watu wanakuja na hoja za kitoto. Unafikiri kwenda International ndio kutengeneza profit? See how big is our country, compare it with Malawi halafu tafakari upumbavu wako.
Kumbe safari za ndani kama vile kwenda Songea ndege zinatengeza profit zaidi kuliko safari za nje kama kwenda London! Ndio unachotaka kutuaminisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…