Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
- Thread starter
- #21
Acha ushabiki wa kijinga, we unaona kuna wabunge wenye hoja za msingi?Nchi huru mawazo huru!
Acha ushabiki wa kijinga, we unaona kuna wabunge wenye hoja za msingi?Nchi huru mawazo huru!
Kulinganisha miji yetu na miji ya ulaya waliko mabeberu! Inakanganya!Tusitarajie wabunge wengi kuwa na busara kulalamikia kero za wananchi, kama maji, elimu na miundo mbinu mibovu. Maana wabunge wengi ni wa CCM na wao walikiri kuwa hawastahili kuwa bungeni bali walibebwa kwa mgongo wa JPM. Kwenye hili bunge tutarajie kusikia haya tulioanza kusikia JPM kuongezewa muda, hata kama yeye hataki, tumchangie zawadi mwenyekiti wetu. Zahanati zipo vizuri maana awamu ya kwanza ya JPM zimejengwa nyingi hata kama hazina dawa. Kingine tutarajie kusikia wanasema Dodoma ni kama Toronto.
Hawa mburula 19 wa Chadema mufu ndio hovyo kabisa, mara kura ziliporwa! Sasa mbona mmeenda kuungana na waporaji? Mara kesi zinazohusu uchaguzi wa mwaka jana zifutwe! Kisa yeye alifutiwa kesi na Dipipi kimazabe. Kwa hawa wa Chadema tutarajie wakiomba kufanyiwa party ya usiku na Ndugai ili wale mviyo na kuku huku makamanda wakisota mitaan.
Una maana gani?Kulinganisha miji yetu na miji ya ulaya waliko mabeberu! Inakanganya!
Hivyo kuna bunge? Lilichaguliwa lini? Hilo ni genge la CCM-NEC (B).Tusitarajie wabunge wengi kuwa na busara kulalamikia kero za wananchi, kama maji, elimu na miundo mbinu mibovu. Maana wabunge wengi ni wa CCM na wao walikiri kuwa hawastahili kuwa bungeni bali walibebwa kwa mgongo wa JPM. Kwenye hili bunge tutarajie kusikia haya tulioanza kusikia JPM kuongezewa muda, hata kama yeye hataki, tumchangie zawadi mwenyekiti wetu. Zahanati zipo vizuri maana awamu ya kwanza ya JPM zimejengwa nyingi hata kama hazina dawa. Kingine tutarajie kusikia wanasema Dodoma ni kama Toronto.
Hawa mburula 19 wa Chadema mufu ndio hovyo kabisa, mara kura ziliporwa! Sasa mbona mmeenda kuungana na waporaji? Mara kesi zinazohusu uchaguzi wa mwaka jana zifutwe! Kisa yeye alifutiwa kesi na Dipipi kimazabe. Kwa hawa wa Chadema tutarajie wakiomba kufanyiwa party ya usiku na Ndugai ili wale mviyo na kuku huku makamanda wakisota mitaan.
Hakuna ukinzani wa aya hapa. Nomba rudia kusoma, na kama hujui kusoma omba msaada wa kusomewa. aAya ya kwanza na ya pili zinakinzana, as if wameandika watu wawili tofauti. Ila kama mwandishi ni mmoja basi ni wazi una hang'over ya jana bado.
Sasa nakubaliana na wale waliosema hakuna haja ya kuwa na bunge. Na kwa kweli ni heri kutokuwa na bunge kuliko hili.Tusitarajie wabunge wengi kuwa na busara kulalamikia kero za wananchi, kama maji, elimu na miundo mbinu mibovu. Maana wabunge wengi ni wa CCM na wao walikiri kuwa hawastahili kuwa bungeni bali walibebwa kwa mgongo wa JPM. Kwenye hili bunge tutarajie kusikia haya tulioanza kusikia JPM kuongezewa muda, hata kama yeye hataki, tumchangie zawadi mwenyekiti wetu. Zahanati zipo vizuri maana awamu ya kwanza ya JPM zimejengwa nyingi hata kama hazina dawa. Kingine tutarajie kusikia wanasema Dodoma ni kama Toronto.
Hawa mburula 19 wa Chadema mufu ndio hovyo kabisa, mara kura ziliporwa! Sasa mbona mmeenda kuungana na waporaji? Mara kesi zinazohusu uchaguzi wa mwaka jana zifutwe! Kisa yeye alifutiwa kesi na Dipipi kimazabe. Kwa hawa wa Chadema tutarajie wakiomba kufanyiwa party ya usiku na Ndugai ili wale mviyo na kuku huku makamanda wakisota mitaan.
Hivi mtu mzima na busara zake anaweza kuwaita watanzania wenzake 'mburula' kweli? Ukiona mtu humu JF anatukana na kukejeli watu wazima wenzake ujue mtu huyo mpumbavu!Hujaelewa tu boss.
Msisumbuke wengine ni matokeo ya akili zilizorejeshwa kwa wenye nazoHao wabunge wa CDM waliopo bungeni ni wawapi? Unawaita waCDM kwa msingi upi??
Hujaelewa mzeeAya ya kwanza na ya pili zinakinzana, as if wameandika watu wawili tofauti. Ila kama mwandishi ni mmoja basi ni wazi una hang'over ya jana bado.
You are quite right, hukumu itumikiwe kwanza. But you are wrong, hukumu iliyoko hapa ni ya kuwafukuza wanachama watu ambao tayari walishapitishwa. Hawa S19 (=shujaa 19) waliteuliwa na CHADEMA orodha yao ikapelekwa Tume kwa saini ya katibu mkuu mnyika ikapokelewa kwa dispatch. Kisheria CHADEMA wanatapatapa tu, barua ni yao. Wa again haona kikao cha kk wala fomu ya kujaza - these are internal affairs tume hsihusiki nayo. CHADEMS wamenasa, they will be estopped from denying their letter ndiyo maana wabunge wanaendelea. Ili kuwafukuza itabidi ile barua ya mnyika kwenda tume iwe withdrwan kwanza.Hukumu ya mahakama ikitolewa unapelekwa gerezani kutumikia hukumu wakati huo taratibu ya kukata rufaa inaendelea; lakini waliofutwa uhanachama Chadema wao wanaendelea na uanachama wao licha ya kufutwa na wakakiri na kukata rufaa; sasa rufaa walikata kwanini? na kwanini Bunge linapokea watu waliokata rufaa ya kupinga kufutiwa uanachama?
Sometimes viongozi wa Bunge wanatudharau sana sisi walipa kodi kisa hatuwezi kuhoji matumizi ya kodi zetu..Inauma sana kutumia kodi za wananchi kwa namna ya kuwalipa watu wasiyohusika.
Acha uwongo.Sasa nakubaliana na wale waliosema hakuna haja ya kuwa na bunge. Na kwa kweli ni heri kutokuwa na bunge kuliko hili.
Uchaguzi tuliofanya 2020 una kasoro moja kubwa sana. Nayo ni: tulitakiwa kumchagua rais mwenye mamlaka makubwa kikatiba na kisheria, lakini pia, katika kuhakikisha hatatumia madaraka yake vibaya tukatakiwa kuchagua wasimamizi wake ambao ni wabunge. ulitakiwa kuwa uchaguzi wa rais na wasimamizi wa taasis ya urais. Bahati mbaya sana wapiga kura tukapotoshwa na vyombo vya habari, wanamuziki, wasanii, taasisi za serikali, vyombo vya ulinzi, tume ya uchaguzi nk. na hivyo tukamchangua rais na tukachagua wapiga debe wake!!!!! kwa hiyo taasisi ya urais imekosa wasimamizi, hakuna check and balance. hii maana yake mh rais dhamiri yake nzuri haiwezi tufikisha popote kwa sababu kumesekosekana washauri, wafatiliaji, wakaguzi, watathmini, nk nk. sasa ni mwendo wa kusifu kwenda mbele.