Tunakwenda kushudia Bunge la ajabu tangu mfumo wa vyama vingi uanze nchini

Kulinganisha miji yetu na miji ya ulaya waliko mabeberu! Inakanganya!
 
Hivyo kuna bunge? Lilichaguliwa lini? Hilo ni genge la CCM-NEC (B).
 
Aya ya kwanza na ya pili zinakinzana, as if wameandika watu wawili tofauti. Ila kama mwandishi ni mmoja basi ni wazi una hang'over ya jana bado.
Hakuna ukinzani wa aya hapa. Nomba rudia kusoma, na kama hujui kusoma omba msaada wa kusomewa. a
 
Sasa nakubaliana na wale waliosema hakuna haja ya kuwa na bunge. Na kwa kweli ni heri kutokuwa na bunge kuliko hili.
Uchaguzi tuliofanya 2020 una kasoro moja kubwa sana. Nayo ni: tulitakiwa kumchagua rais mwenye mamlaka makubwa kikatiba na kisheria, lakini pia, katika kuhakikisha hatatumia madaraka yake vibaya tukatakiwa kuchagua wasimamizi wake ambao ni wabunge. ulitakiwa kuwa uchaguzi wa rais na wasimamizi wa taasis ya urais. Bahati mbaya sana wapiga kura tukapotoshwa na vyombo vya habari, wanamuziki, wasanii, taasisi za serikali, vyombo vya ulinzi, tume ya uchaguzi nk. na hivyo tukamchangua rais na tukachagua wapiga debe wake!!!!! kwa hiyo taasisi ya urais imekosa wasimamizi, hakuna check and balance. hii maana yake mh rais dhamiri yake nzuri haiwezi tufikisha popote kwa sababu kumesekosekana washauri, wafatiliaji, wakaguzi, watathmini, nk nk. sasa ni mwendo wa kusifu kwenda mbele.
 
Hujaelewa
Aya ya kwanza na ya pili zinakinzana, as if wameandika watu wawili tofauti. Ila kama mwandishi ni mmoja basi ni wazi una hang'over ya jana bado.
Hujaelewa mzee
 
You are quite right, hukumu itumikiwe kwanza. But you are wrong, hukumu iliyoko hapa ni ya kuwafukuza wanachama watu ambao tayari walishapitishwa. Hawa S19 (=shujaa 19) waliteuliwa na CHADEMA orodha yao ikapelekwa Tume kwa saini ya katibu mkuu mnyika ikapokelewa kwa dispatch. Kisheria CHADEMA wanatapatapa tu, barua ni yao. Wa again haona kikao cha kk wala fomu ya kujaza - these are internal affairs tume hsihusiki nayo. CHADEMS wamenasa, they will be estopped from denying their letter ndiyo maana wabunge wanaendelea. Ili kuwafukuza itabidi ile barua ya mnyika kwenda tume iwe withdrwan kwanza.
 
Acha uwongo.

Rais hakuchaguliwa na wananchi bali wakurugenzi wake aliowateua na kuwaonya, ole wao wamtangaze mshindi mpinzani hata kama amechaguliwa na wananchi.

Hao wajinga uliowaita wapiga debe, aliwateua yeye, na kisha kupewa kura na hao vibaraka wakurugenzi.

Uongozi wa awamu hii, kuanzia Rais, wabunge mpaka madiwani, ni matokeo ya ule uchafu ulioandaliwa na Rais kwa kushirikiana na vibaraka wake kama hayo Mahela and the like.

Wananchi wamewapuuza, na kuwaacha wafanye wanavyotaka.
 
Mimi hata sijui kinachoendelea Dodoma zaidi ya mechi ya Dodoma FC dhidi ya Simba. Sijui wazee wa Msimbazi wameshaondoka huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…